Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
wapo waliotumwa kwenda kwenye mahospitali.
some were sent to hospitals.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
je, tunaweza kwenda kwenye maduka?
can we go to shops?
Senast uppdaterad: 2023-10-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwaliko kwenda kwenye mkesha wa februari 18
invitation to the february 18th vigil
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kosa wakati wa kuhamisha faili kwenda kwenye pipa-taka
error while moving files to trash.
Senast uppdaterad: 2014-08-15
Användningsfrekvens: 3
Kvalitet:
hivi amewahi kwenda kwenye hospitali za jimbo la moscow???
has he been to moscow region hospitals???
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
barua za mapendekezo kutoka shule ya sekondari kwenda kwenye elimu
letters of recommendation from high school to scholarship
Senast uppdaterad: 2017-10-02
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
akiendelea na kwenda kwenye hali ilivyo huko gaza, zeinobia anablogu:
moving on to the situation in nearby gaza, zeinobia blogs:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
licha ya kunipigia kelele kali kwenye ngoma za masikio yangu, ananisaidia kupata utulivu.
far from piercing my eardrums, he calms me down.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
nilimchukua mwanangu kwenda kwenye mchezo usiku wa siku chache zilizopita na tumekuwa tukitaabika na kuumwa kwa vichwa tangu wakati huo, na ninashitukashituka wakati nikilala.
i took my son to a game a few nights ago and have been suffering from headaches ever since, and am sleeping fitfully.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ili kuiangalia video, tafadhali bofya kwenye picha hapa chini ili kwenda kwenye tovuti ya oneminutejr.
to view the video, please click on the image below to go to the oneminutesjr site.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ni miaka mingapi hakuishi na mke wake kabla ya kwenda kwenye ukumbi wa mahojiano kuhusioana na talaka yake?
how many years did he not live with his wife before going to the theatre for an interview about his divorce?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
mchuano huo utaamua ipi kati ya timu hizo zitafaulu kwenda kwenye kombe la dunia la fifa afrika ya kusini mwaka ujao.
the encounter will determine which of both teams will qualify to next year's fifa world cup in south africa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
maudhui ya mkutano huo yalikuwa mitandao ya kijamii -kutoka pembezoni kwenda kwenda kwenye vyombo vikuu vy habari.
the theme of the conference was social media – from the margins to the mainstream.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kufunika na kunyonya gesi iliyotengenezwa kwenda kwenye mtungi wa kuhifadhia ni rahisi na matumizi baada ya hapo yanahitaji vifaa vichache vya kuokoteza.
capping this and drawing of the produced gas into a holding tank is simple and usage after that needs again fairly minimalist hardware that can be jury-rigged together.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
huwa wa kwanza kwenda kwenye eneo la tukio akiwa na habari za wakati husika, lakini kwa kweli haiwezekani mtu mmoja kufanya zaidi.
he’s first on scene with great updates, but there’s only so much that one person can do.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
@fredodupoux aliweza kwenda kwenye wilaya ya delmas nje kidogo ya mji wa port au prince, eneo ambalo lilipokea athari kwa kishindo.
@fredodupoux ventured into the district of delmas outside of port au prince, an area which received the brunt of the damage.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
wengine wanasema, hata hivyo, kwamba imelenga kukata mirija ya misaada ya fedha za kigeni kwenda kwenye azise za ki-rusi.
some say, however, that it is aimed at stopping the flow of foreign money to russian ngos altogether.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
februari 9 ingeweza kwenda kwenye historia kama siku ambapo hatua za kidemorasia za kisiasa zilichukuliwa kuifanya naijeria kupiga hatua moja bele kuelekea kwenye njia ya kufanyika taifa la kidemokrasia ya kweli.
february 9th could possibly go down in history as a day when democratic political measures where used to take nigeria one step further down the path to becoming a true democratic nation.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
sehemu ya kwanza ya mradi huo itatuma takriban jumbe za bure zipatazo milioni moja kwa umma wa kawaida kila siku kwa mwaka mmoja, wakiuasa umma kwenda kwenye vituo vya vvu na kifua kikuu.
the first part of the project will send the general public approximately one million free text messages daily for a year, urging them to call hiv and tb call centers.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
baadaye katika miaka ya 1980, virusi vya korona vya mwanadamu oc43 vilitoka kwa virusi vya korona vya ng'ombe baada ya tukio lingine ya kuruka kwenda kwenye spishi nyingine.
later in the 1890s, human coronavirus oc43 diverged from bovine coronavirus after another cross-species spillover event.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: