Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
amemuumba mtu kwa tone la manii. naye mara amekuwa mshindani dhaahiri.
he created man from a drop of [seminal] fluid, and, behold, he is an open contender!
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanablogu na mwandishi wa habari dorothy dandejo kutoka kameruni alikuwa mshindani wa karibu aliyeibuka mshindi wa pili katika kundi hilo hilo.
blogger and multi-media journalist dorothy dandejo from cameroon was the runner up in the same category.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mshindani mwingine katika kigezo hiki ni han han, mwandishi wa riwaya mwenye ufanisi mkubwa ambaye pia ni dereva wa magari ya mashindano wa huko china ambaye ametokea kuwa mwanablogu aliyesomwa sana nchini china na mshiriki katika shindano la 100 bora wa gazeti la time.
another contender of this category is han han, a prolific novelist and race car driver from china who happens to be china's most read blogger and a contender for time magazine's top 100 list.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
rais robert mugabe ameshinda uchaguzi wa rais nchini zimbabwe ulifanyika jumamosi ya julai 31, 2013, akimbwaga mshindani wake wa karibu, waziri mkuu wa zamani katika serikali ya umoja wa kitaifa morgan tsvangirai.
president robert mugabe won zimbabwe's presidential election on saturday 31 july, 2013, beating his closest rival, the former prime minister in the coalition government morgan tsvangirai.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
baadaye mshindani mkuu huyo wa rais museveni alipelekwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi ya kasangati ambako aliachiwa kwa dhamana isiyo ya fedha taslimu ya shilingi za uganda milioni 5 (takriban dola za kimarekani $2,100).
president musveni's main challenger was later taken to kasangati magistrates court where he was released on a non-cash court bond of ushs. 5 million (aprox. us $2,100).
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: