You searched for: mtawa (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

mtawa

Engelska

religious

Senast uppdaterad: 2013-08-21
Användningsfrekvens: 2
Kvalitet:

Referens: Wikipedia

Swahili

nimekupata mtawa

Engelska

i've found you

Senast uppdaterad: 2018-12-28
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

nime kuota mtawa

Engelska

i'm dreaming yesterday

Senast uppdaterad: 2018-12-28
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kinyume cha neno mtawa

Engelska

kinyume cha neno mtawa

Senast uppdaterad: 2024-03-09
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

mtawa akitembea kwenye jengo la umma nchini cambodia

Engelska

a monk walking in a community plaza

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

upelelezi uliosababisha kukamatwa kwa mtawa huyo ulitokana na kusambazwa kwa picha hiyo ya utupu ya video kwa watu wengi hasa kupitia zana za bluetooth za kwenye simu za mkononi.

Engelska

the investigation which led to an arrest was followed by an enormous sharing of that nude video via bluetooth from phone to phone.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hatuwezi kutarajia mtawa wa kikristu akaruhusu ufundishwaji wa elimu ya ngono kwa watoto wadogo na wanafunzi wa sekondari ukichukulia kuwa wengi katika kanisa katoliki wanaamini kuwa masomo ya kuhusiana na ngono na uzazi yataleta mamba zisizotarajiwa kwa wanafunzi.

Engelska

one cannot see how a christian brother can support sex education for elementary and high school students considering that many in the catholic church believe that exposing students to learning about sex and sexuality will surely lead to unwanted pregnancies.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hivi karibuni , kuna mtawa aliyekamatwa akichukua picha za video za wanawake waliokuwa uchi ambao walikuwa wamekwenda kwenye monasteri ili kujichotea maji yanayoaminika kuwa ya baraka, ambapo inaaminika kwamba maji yanayotolewa na mtawa huyo huwaondolea watu bahati mbaya na kuwafutia mambo yote mabaya.

Engelska

recently, a monk was caught making a video of naked ladies who went to his monastery for religious watering, a belief that the water provided by the monk will release all bad incidents or bring luck to people.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kuna kisakilichomhusisha mtawa kiongozi aliyeripotiwa kulewa na kisha kumpiga mwanakleri (mtawa) mwingine huku mwanakleri huyo akishindwa kulipigia jambo hilo ripoti kwa sababu za kiusalama,hasa kwa kuwa mtawa kiongozi huyo anafahamika vema kwamba yeye ni kama mtawa mfalme katika jimbo linalohusika.

Engelska

there was a case where a provincial chief monk reportedly got drunk and beat a clergymen who didn't file a complaint for security reason since the bully monk is recognized as the king monk in the province.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,740,601,833 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK