Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mwanga wa jua
the sun will shine
Senast uppdaterad: 2023-08-30
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanga wa mwezi
moonlight
Senast uppdaterad: 2024-01-23
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wakati mwanga wa asubuhi ulipotoka, watu zaidi walielekea mitaani na kurekodi madhara waliyoyaona:
as daylight came, more people went out to the streets and recorded the damage they observed: netprox drove through the highway, and had to squeeze under a fallen bridge to get through.
mitaa ya betlehemu inavyoangazwa kwa mwanga wa taa za krismasi, anatwiti @maathmusleh, ambaye aliweka picha hii katika mtandao wa twita
bethlehem streets lighting up for christmas, tweets @maathmusleh, who shares this image on twitter
mwanahabari wa israeli joseph dana alikuwa betlehemu kuangalia mwanga wa miti ya krismasi na alipakia mtandaoni picha ifuatayo:
israeli journalist joseph dana was in bethlehem to see the lighting of the christmas tree and shares this photograph:
muigizaji filamu wa bollywood ambaye pia ni mwanablogu amitabh bachchan anatoa mwanga wa mawazo yake kuhusu uchaguzi ujao wa india.
bollywood actor cum blogger amitabh bachchan offers a glimpse of his thoughts on the upcoming indian elections.
kutokana na ukweli kuwa eneo hilo halikuwa na mwanga wa kutosha inawezekana ndio sababu iliyochangia tukio hilo la msongamano ulisababisha mkanyagano wa watu.
the fact that the area was not adequately lighted may have contributed to the terrible tragedy.
ningependa njia zangu ziwe thabiti nizitii amri zako! 6ndipo ... 105neno lako ni taa ya mguu miguu yangu na mwanga wa njia yangu.
the word of the lord is a lamp to my feet
Senast uppdaterad: 2021-04-21
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
@lucy_smize: nyeusi, njano, nyekundu: watu, mwanga wa jua, undungu.#ugandaat50
@lucy_smize: black, yellow, red: people, sunshine, brotherhood. #ugandaat50
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
jinsi gani chama kuifanya upya na kutafsiri mfumo wake kwa mtandao na vyombo vya habari vya kijamii katika mwanga wa kubadili mtazamo wake kwa usalama wa taifa?
how might the party re-tool and redefine its approach to the internet and social media in light of its shifting approach to national security?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kw akutumia kauli mbiu ya zamani ya tume ya utalii ya ethiopia, "miezi 13 ya mwanga wa jua", saleh alisema:
using the ethiopian tourism commission’s former motto, ‘13 months of sunshine’, saleh said:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
yesu akajibu, "je, saa za mchana si kumi na mbili? basi, mtu akitembea mchana hawezi kujikwaa kwa kuwa anauona mwanga wa ulimwengu huu.
jesus answered, are there not twelve hours in the day? if any man walk in the day, he stumbleth not, because he seeth the light of this world.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, "mimi ndimi mwanga wa ulimwengu. anayenifuata mimi hatembei kamwe gizani, bali atakuwa na mwanga wa uzima."
then spake jesus again unto them, saying, i am the light of the world: he that followeth me shall not walk in darkness, but shall have the light of life.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
hata hivyo, mwaka uliopita umekuwa mgumu kwa watu wa najeria walio ughaibuni: katika miezi michache iliyopita, mfululizo wa matukio yanayoionyesha naijeria katika mwanga wa utata ulizua majadiliano kwenye ulimwengu wa blogu.
however, the last year has been especially hard on nigeria's reputation abroad: over the past few months, a series of events depicting nigeria in a questionable light have triggered discussions throughout the blogosphere.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
mungu ambaye alisema, "mwanga na uangaze kutoka gizani," ndiye mwenye kuiangaza mioyo yetu, na kutupatia mwanga wa ujuzi wa utukufu wa mungu uangazao katika uso wa kristo.
for god, who commanded the light to shine out of darkness, hath shined in our hearts, to give the light of the knowledge of the glory of god in the face of jesus christ.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering