Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
vitu vyote
all things
Senast uppdaterad: 2013-04-20
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
vitupuishwe vitu vyote kutoka kwenye pipa taka?
empty all items from trash?
Senast uppdaterad: 2014-08-15
Användningsfrekvens: 3
Kvalitet:
Referens:
na mwenyezi mungu ni mwenye kuvizunguka vitu vyote.
allah encompasses everything.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
vitu vyote kwenye pipa-taka vitakuwa vimefutwa moja kwa moja.
all items in the trash will be permanently deleted.
Senast uppdaterad: 2014-08-15
Användningsfrekvens: 3
Kvalitet:
Referens:
kanisa ni mwili wa kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali.
which is his body, the fulness of him that filleth all in all.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kila nyumba hujengwa na mjenzi fulani--na mungu ndiye mjenzi wa vitu vyote.
for every house is builded by some man; but he that built all things is god.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote.
and hath put all things under his feet, and gave him to be the head over all things to the church,
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
mwisho wa vitu vyote umekaribia. kwa hiyo mnapaswa kuwa na utaratibu na nidhamu, ili mweze kusali.
but the end of all things is at hand: be ye therefore sober, and watch unto prayer.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.
all things are lawful for me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but all things edify not.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ama mimi nimeamrishwa nimuabudu mola mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu; na ni vyake yeye tu vitu vyote.
(say prophet muhammad): 'i am only ordered to worship the lord of this country, which he has made sacred, everything belongs to him.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
neno hili: "tena" linatuonyesha kwamba vitu vyote vilivyoumbwa vitatetemeshwa na kutoweka ili vibaki vile visivyotetemeshwa.
and this word, yet once more, signifieth the removing of those things that are shaken, as of things that are made, that those things which cannot be shaken may remain.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani.
whom the heaven must receive until the times of restitution of all things, which god hath spoken by the mouth of all his holy prophets since the world began.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
lakini siku hizi za mwisho, amesema nasi kwa njia ya mwanae. yeye ndiye ambaye kwa njia yake mungu aliumba ulimwengu na akamteua avimiliki vitu vyote.
hath in these last days spoken unto us by his son, whom he hath appointed heir of all things, by whom also he made the worlds;
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ili kujipatia upya nafasi huria kwenye ujazo huu pipa-taka halina budi kutupuishwa. vitu vyote vilivyotupwa humo kwenye ujazo vitakuwa vimepotea moja kwa moja.
in order to regain the free space on this volume the trash must be emptied. all trashed items on the volume will be permanently lost.
Senast uppdaterad: 2014-08-15
Användningsfrekvens: 3
Kvalitet:
Referens:
"baba yangu amenikabidhi vitu vyote. hakuna amjuaye mwana ila baba, wala amjuaye baba ila mwana, na yeyote yule ambaye mwana atapenda kumjulisha.
all things are delivered unto me of my father: and no man knoweth the son, but the father; neither knoweth any man the father, save the son, and he to whomsoever the son will reveal him.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
ama mimi nimeamrishwa nimuabudu mola mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu; na ni vyake yeye tu vitu vyote. na nimeamrishwa niwe miongoni mwa waislamu, wenye kunyenyekea.
(say): "i am commanded to worship the lord of this land he has blessed, to whom all things belong; and i am commanded to be one of those who submit,
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru wauzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.
but forasmuch as he had not to pay, his lord commanded him to be sold, and his wife, and children, and all that he had, and payment to be made.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.
charge them that are rich in this world, that they be not highminded, nor trust in uncertain riches, but in the living god, who giveth us richly all things to enjoy;
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
maana kwa njia yake vitu vyote viliumbwa duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: wenye enzi, watawala, wakuu na wenye mamlaka. vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake.
for by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ukaweka kila kitu chini ya miguu yake, avitawale." yasemwa kwamba mungu alimweka mtu kuwa mtawala wa vitu vyote yaani bila kuacha hata kimoja. hata hivyo, hatuoni bado mtu akivitawala vitu vyote sasa.
thou hast put all things in subjection under his feet. for in that he put all in subjection under him, he left nothing that is not put under him. but now we see not yet all things put under him.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering