You searched for: ni yeye kwenda kuona mama yake na baba (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

ni yeye kwenda kuona mama yake na baba

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

mama yake na mama

Engelska

his mother and mother

Senast uppdaterad: 2021-12-27
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,

Engelska

for this cause shall a man leave his father and mother, and cleave to his wife;

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

baba yake alimshikilia mama yake na loubna kama mateka na kutishia kumuua kama sehemu ya adhabu.

Engelska

her father kidnapped her mother and threatened to kill her as punishment.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

baba yake hatimaye alimuua mama yake na loubna, alimkatisha maisha aliyoyajua kabla ya kuamua kuwa kinyume na mamlaka ya syria..

Engelska

her father killed her mother, and cut her off from the life she had known before the uprising.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

mwaka mmoja uliopita hali hiyo ingenikasirisha sana lakini sasa ninakimbia kwa urahisi kwenda kukutana na rafiki yangu na mama yake na kusimulia tukio hilo huku nikicheka na kusema kwamba kwamba nilidhani haikuwa siku yangu ya matofaa.”

Engelska

a year ago that interaction might have upset me but now i simply ran to catch up with my friend and her mom and repeated it while laughing and saying that i guessed it wasn't my day for apples."

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

karibu na msalaba wake yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, maria mke wa kleopa, na maria magdalene.

Engelska

now there stood by the cross of jesus his mother, and his mother's sister, mary the wife of cleophas, and mary magdalene.

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

na akasema: kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?

Engelska

and said, for this cause shall a man leave father and mother, and shall cleave to his wife: and they twain shall be one flesh?

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

sema: ni nani mwenye kumiliki cho chote mbele ya mwenyezi mungu ikiwa yeye angetaka kumuangamiza masihi mwana wa maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya mwenyezi mungu.

Engelska

say: who then could control anything as against allah when he wished to destroy the messiah son of marium and his mother and all those on the earth?

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hakika wamekufuru walio sema: mwenyezi mungu ni masihi mwana wa maryamu. sema: ni nani mwenye kumiliki cho chote mbele ya mwenyezi mungu ikiwa yeye angetaka kumuangamiza masihi mwana wa maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi?

Engelska

they have indeed become disbelievers who say, “messiah, the son of maryam is certainly allah”; say, “who can then do anything against allah, if he wills to destroy the messiah, the son of maryam, and his mother and everyone on earth?”

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi aliyempenda, akamwambia mama yake: "mama! tazama, huyo ndiye mwanao."

Engelska

when jesus therefore saw his mother, and the disciple standing by, whom he loved, he saith unto his mother, woman, behold thy son!

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

yeye ni binti wa mkimbizi ambaye hajawahi kutia machoni mwake hata kipande kidogo cha ardhi yake maisha yake yote, na wa mama ambaye huishi huku moyo wake ukiwa umegawanyika kati ya nchi ya asili yake na nchi ya kigeni, kati ya familia yake na ndoa yake, kati ya mama yake na nchi yake ya asili, kati ya ndugu aliozaliwa nao na watoto wake wa kuzaa mwenyewe.

Engelska

she is the daughter of a refugee who has seen not a single inch of his land his whole life, and of a mother who lives with her heart split between her homeland and a foreign country, between her family and her marriage, between her mother and her home, between her siblings and her children.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kuanzia mwanzo wa harakati za kuwa kinyume na mamlaka, wazazi wa loubna walikuwa katika pande tofauti: baba yake na wajomba zake walikuwa upande wa assad, wakati loubna na mama yake walikuwa wakiunga mkono maandamano yaliyokuwa yakishamiri.

Engelska

from the start of the uprising, loubna’s parents took opposite sides: her father and uncles stood with assad, while loubna and her mother supported the growing protests.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

wakasema, "je, huyu si mwana wa yosefu? tunawajua baba yake na mama yake! basi, anawezaje kusema kwamba ameshuka kutoka mbinguni?"

Engelska

and they said, is not this jesus, the son of joseph, whose father and mother we know? how is it then that he saith, i came down from heaven?

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Få en bättre översättning med
7,788,711,105 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK