Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
tula para sa guro
poem for teacher
Senast uppdaterad: 2013-01-23
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
bloga el nahual wa blogu ya mexico para los mexicanos anahofu kuhusu matokeo ya kitendo hiki katika nchi:
el nahual of méxico para los mexicanos is worried about what this act may mean for the rest of the country:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kikundi hicho kinakutana kuunga mkono tovuti ya más y mejor internet para bolivia (mtandao zaidi na nafuu kwa ajili ya bolivia).
the group is gathering support at the site más y mejor internet para bolivia (more and better internet for bolivia).
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
haa, mama janet kataaha museveni (nee kainembabazi), mke wa rais tangu mwezi mei 1986 ametoa hadharani wasifu wake binafsi (cv) akikwea hatua kwa hatua kutoka mama wa kupanga safari za mumewe mpaka kuwa mbunge anayewakilisha jimbo la ruhaama, kisha waziri wa nchi anayeshughulikia mambo ya karamoja (februari 27, 2009) mpaka kuwa waziri kamili wa masuala ya karamoja (tangu mei 27, 2011). na mtu yeyote anayefikiri kwa makini lazima awe na wasiwasi na ukweli uliofichwa, kwamba kwa kurejeshwa tena ukomo wa mihula ya urais, basi maana yake ni kwamba itawezekana mama huyu akashawishiwa na chama kinachotawala cha nrm kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho kama ilivyokuwa kwa mwanamama cristina fernandez de kirchner, rais wa sasa wa ajentina ambaye alisimikwa na chama cha mumewe (frente para la vietoria) kuchukua nafasi ya mume wake baada ya kipindi chake kumalizika ingawa mwaka 2007 chama democrats (huko marekani) kwa dhati kabisa walimkataa hilary rodmahn clinton...
eehm, mama janet kataaha museveni(nee kainembabazi),the country's first lady since may 1986 has fast drawn out quite an impressive c.v, elevating her status from a mere itinerary mother figure to an elected m.p representing ruhaama county then state minister for karamoja affairs(16th february, 2009) currently to cabinet minister for karamoja affairs(27th may, 2011) and no serious thinker should doubt the pending reality, that with the restoration of presidential term limits, it will all then be within the bounds of possibility that she could be fronted by ruling nrm as the party's flag bearer to run for presidency jest like with cristina fernandez de kirchner, argentina's current president who was annointed by her husband's party(frente para la vietoria) to replace him after his tenure expired in 2007 though the democrats(in the us)outrightly rejected hilary rodmahn clinton...
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: