Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
pia anaendesha canapic jar na basotho ambazo vilevile zinajihusisha na sanaa za uandishi na zanaa za maonyesho.
he also runs canopic jar and basotho which also feature written and visual art.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kwa tarakimu hiyo ya kukua kwa blogu, wasanii wengi wa kiafrika wamejiunga, na ongezeko kubwa likionekana kwenye blogu za mashairi kama ilivyo kwa upigaji picha unaochipukia na blogu za sanaa za maonyesho.
in that number of growing blogs, a lot of african artists have also joined in with a huge increase noted in poetry blogs as well as emerging photography and visual arts blogs.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
msanii wa sanaa za maonesho wa venezuela erika ordosgoitti, ambaye kazi zake zinajikita zaidi kwenye maeneo ya mwili wa mwanamke, ni mfano mwingine wa mtu aliyekumbana na changamoto nyingi kwa sababu ya kuchapisha kazi zake za sanaa zenye kuonesha sehemu za siri kwenye mitandao ya kijamii.
venezuelan performance artist erika ordosgoitti, whose art focuses primarily on the female body, is another example of a person who has faced numerous challenges due to her publishing nude works on social media.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
jarida hilo linashughulikia fasihi, sanaa ya maonyesho, muziki, sanaa za kuchora, stadi za kitamaduni, na mengine mengi. repeating islands hupandisha kati ya makala sita hadi saba kila siku: viungo vya makala na mahojiano, taarifa kuhusu vitabu na maonyesho, and mambo mengine mengi ya kuvutia.
covering literature, visual arts, music, performance, cultural studies, and more, repeating islands posts up to six or seven new items daily: links to articles and interviews, information about new books and exhibitions, and fascinating oddments.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.