You searched for: sikilizeni kwa makini (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

sikilizeni kwa makini

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

ocean_joe: tunapaswa kuwaza kwa makini.

Engelska

ocean_joe: we have to think carefully.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

jichunguze kwa makini moyoa kama unampendeza mungu kumpendeza mungu

Engelska

live to please god

Senast uppdaterad: 2024-01-18
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

akawaambia pia, "sikilizeni kwa makini mnachosikia! kipimo kilekile mnachowapimia watu wengine, ndicho mtakachopimiwa; tena mtazidishiwa.

Engelska

and he said unto them, take heed what ye hear: with what measure ye mete, it shall be measured to you: and unto you that hear shall more be given.

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

fikiri kwa makini juu ya hayo yote na kuyatekeleza kusudi maendeleo yako yaonekane na wote.

Engelska

meditate upon these things; give thyself wholly to them; that thy profiting may appear to all.

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mwingiliano wa matibabu haya na dawa nyingine zilizotumika kwa wagonjwa unapaswa kufuatiliwa kwa makini.

Engelska

the interaction of these treatments with other drugs used in the patients should be monitored carefully.

Senast uppdaterad: 2024-04-13
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

iangalie kwa makini ili baade uweze kuitambua vizuri endapo siku moja utasafiri katika jangwa hili.

Engelska

look at it carefully so that you will be sure to recognise it in case you travel some day to the african desert.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

pia, athari za kimatibabu zikiangaziwa, baadhi upungufu unaohusiana na plasma unapaswa kuzingatiwa kwa makini.

Engelska

in addition, given the therapeutic effects, some disadvantages associated with the plasma should be considered carefully.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

makaguzi wanakagua kwa makini pakiti hizo, ili wapate hakikisho kuwa kuna nia ya kudanganya mteja.'

Engelska

inspectors scrutinize the packages, because they need to be certain that an intention exists to deceive the consumer.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

tafadhali zingatia sheria hizi kwa makini na zichukulie moyoni. usijaribu kutafuta vipenyo au kutafuta njia yako ndani ya miongozo

Engelska

english

Senast uppdaterad: 2021-04-28
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

manabii walipeleleza kwa makini na kufanya uchunguzi juu ya wokovu huo, wakabashiri juu ya neema hiyo ambayo ninyi mngepewa.

Engelska

of which salvation the prophets have inquired and searched diligently, who prophesied of the grace that should come unto you:

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa hiyo kama kutaki kuja kuchanganyikiwa baada ya kumaliza likizo yako na unataka kuwa makini zaidi na taarifa zako, soma kwa makini.

Engelska

so, if you don't want post-holiday stress to be more serious for problems with your information, read carefully.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

anayafahamu maneno yaliyojaa maana, anaongea kishairi, anaweza kuwachanganya wananchi, hata wanahabari, ambao hawamfuatilii kwa makini.

Engelska

he knows words that are loaded with meaning, he speaks poetry, and he can confuse people, even journalists, who don’t follow him critically.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

mfumo wa vizingiti na mizani unaofanya kazi sawa pamoja na miundo fanisi ya utanganishaji wa madaraka ni masuala kadhaa ambayo yanahitaji kutazamwa kwa makini na tume hii.

Engelska

functional checks and balances as well as workable forms of separation of powers were other issues that needed serious consideration by the commission.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

anaeleza kuwa hatua yoyote ya kuingilia mambo ya syria itailazimisha serikali ya pakistani kuanza kutazama kwa makini kukua kwa ghasia za kidini ndani ya nchi:

Engelska

he explains that any interference in syria will force the pakistani state to pay attention to rising sectarian violence in the country:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

huu, ni mtazamo mwepesi na wenye nguvu dhidi ya unyanyasaji, hata hivyo ukitazama kwa makini kwenye twiti hizi utaona imani nyingi ambazo prashant alizizungumzia.

Engelska

this, is a refreshing and powerful stance against violence, however a closer look at the tweets reveals many of the myths prashant addressed.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

watu wote, wadogo na wakubwa, walimsikiliza kwa makini wakisema, "simoni ndiye ile nguvu ya kimungu inayoitwa nguvu kubwa."

Engelska

to whom they all gave heed, from the least to the greatest, saying, this man is the great power of god.

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

kisha akawatuma bethlehemu akisema, "nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende nikamwabudu."

Engelska

and he sent them to bethlehem, and said, go and search diligently for the young child; and when ye have found him, bring me word again, that i may come and worship him also.

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

maafisa waandamizi wa serikali na makada wa chama tawala hawakufurahishwa na habari hizo zilizokuwa zikifuatilia kwa makini na kuweka wazi hali ya mhe sata na kulikuwa na majaribio mengi ya kuifungia tovuti hiyo ambayo kwa nyakati kadhaa ilizuiwa kuifanya isipatikane kwa wasomaji wanaoishi zambia.

Engelska

both senior government officials and ruling party cadres were not happy with the publication for keenly following and exposing mr sata’s condition and there were many attempts to shut down the online publication which was at times blocked for access to people in zambia.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hivi karibuni, chantra alihoji jukumu la washauri 164 wa chama kilicho madarakani kama wameshaishauri kwa makini serikali katika mambo fulani kama vile ya afya, elimu, mahakama, uwekezaji na mali asili.

Engelska

recently, chantra questioned the role of 164 advisers of the ruling government and whether or not they have correctly advised the government on certain aspects such as health, education, judiciary, investment and the utilization of natural resource.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

@saddiqueshaban: ninatarajia kwa dhati baraza la habari @mediacouncilk linafuatilia kwa makini yanayofanywa na vyombo vya habari kipindi hiki wanaporipoti tukio hili #nairobiblast.

Engelska

@saddiqueshaban: i sincerely hope @mediacouncilk is keenly watching the conduct of media houses as they report on the #nairobiblast.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,779,328,133 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK