Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
je, hatuna haki ya kula na kunywa?
have we not power to eat and to drink?
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kulingana na unicef, kufanya uoshaji mikono kwa sabuni kabla ya kula na baada ya kutumia choo kuwa mazoea kunaweza kuokoa maisha zaidi kuliko chanjo yoyote au mkakati wa kimatibabu, kupunguza vifo kutokana na kuendesha kwa karibu nusu na vifo kutokana na maambukizi ya pumu kwa robo.
according to unicef, turning hand washing with soap before eating and after using the toilet into an ingrained habit can save more lives than any single vaccine or medical intervention, cutting deaths from diarrhea by almost half and deaths from acute respiratory infections by one-quarter.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
cdc pia inapendekeza kuwa watu waoshe mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji kwa angalau sekunde 20, hasa baada ya kwenda chooni au wakati uchafu unaonekana kwenye mikono, kabla ya kula na baada ya kupenga kamasi, kukohoa au kupiga chafya.
the cdc also recommends that individuals wash hands often with soap and water for at least 20 seconds, especially after going to the toilet or when hands are visibly dirty, before eating and after blowing one's nose, coughing or sneezing.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kuna nyakati tano muhimu kwa siku ambapo kuosha mikono kwa sabuni ni muhimu ili kupunguza usambazaji wa magonjwa ya yanatoka kwa kinyesi hadi mdomoni: baada ya kutumia choo (kuenda haja ndogo, kuenda haja kubwa), baada ya kumsafisha moto haja yake (kubadilisha nepi zake), kabla ya kumpa chakula, kabla ya kula na kabla/baada ya kuandaa chakula au kugusa nyama mbichi, samaki au ndege wa kufuga.
there are five critical times during the day where washing hands with soap is important to reduce fecal-oral transmission of disease: after using the bathroom (urination, defecation), after cleaning a child's bottom (changing nappies), before feeding a child, before eating and before/after preparing food or handling raw meat, fish, or poultry.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: