You searched for: tumia eneo hili (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

tumia eneo hili

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

wakazi wa al-daim wamejazana eneo hili!

Engelska

al-daim residents have completely taken over!

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wanablogu walitaka kuwa sauti ya eneo hili la tisa.

Engelska

the bloggers wanted to be the voice of this ninth zone.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hata vivyo, historia ya eneo hili, hususani mti wa ténéré, ni wa kipekee sana.

Engelska

the history of the region, and more specifically the tree of ténéré, however, is quite unique.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

je vyama vya siasa havina fedha za kuwapa walioathirika au eneo hili si muafaka kwa kampeni?

Engelska

is it that the parties do not have the money to give out to the victims or the area is not campaign friendly?

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kama indonesia itafanikiwa katiaka kuchuja yaliyopo mtandaoni, nchi nyingine katika eneo hili zinatarajiwa kufuata mfano huo.

Engelska

if indonesia succeeds in filtering web content, other countries in the region are expected to follow this model.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hata hivyo, mradi huu wa maendeleo haukusimamishwa, na miradi ya maendeleo zaidi katika eneo hili inaendelea kubuniwa.

Engelska

however, this development project was not dropped, and more development projects in this area are coming up.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

je, ni mambo gani yanachukuliwa kuwa utaratibu mzuri katika eneo hili na je kuna nchi ambazo huwa zinafanya jambo hili mara kwa mara?

Engelska

what is considered good practice in this area and are there any countries that do this particularly well?

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

waandishi wa habari wanapolitupia jicho eneo hili, mara nyingi wamekuwa wakizungumzia mgogoro wa kisiasa uliopo kati ya serikali ya indonesia na harakati za uhuru wa papua ya magharibi.

Engelska

when reporters do turn to the region, it's usually to focus on the political conflict between the indonesian government and west papua's independence movement.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hata hivyo, habari hizi hazijafanya watu kujua vizuri kile kinachoendelea nchini humo, kwa kuwa, kwa mujibu wa watumiaji wa mitandao, vyombo hivi vya habari havina hadhira kubwa katika eneo hili.

Engelska

nonetheless, this has not brought enough attention to the issues on the ground, as most of these news outlets don’t have much impact in the region, say netizens.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

athari ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa barafu iliyoko kwenye mlima huu na mingine iliyo katika eneo hili zimekuwa zikichunguzwa na profesa wa chuo kikuu cha san andrés, edson ramírez, ambaye anahitimisha kwa kusema kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuongezeka kwa kiwango cha joto na kutokweka kwa theluji au barafu hiyo.

Engelska

the effects of climate change on this glacier and others in the region have been part of the investigation by higher university of san andrés professor edson ramírez, who concludes a direct connection between global warming and the disappearance of the glacier.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

moja ya uteuzi aliofanya rais yoweri museveni ni ule wa kumteua mke wake, janet, kuwa waziri wa nchi wa karamoja. eneo hili liko kaskazini-mashariki mwa uganda na kwa miongo mingi limegubikwa na migogoro na umaskini uliokithiri.

Engelska

among the new appointments president yoweri museveni made was the posting of his wife janet as state minister for karamoja, a region in northeastern uganda that has been plagued by conflict and extreme poverty for decades.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

@mmnjug @qulshtm inafikirisha, ingawa nionavyo mimi ni kwaba al-shabaab inapanuka na kuwa kikundi cha kigaidi katika eneo hili la afrika, na wala sio kusambaratika. — charles onyango-obbo (@cobbo3) septemba 22, 2013

Engelska

@mmnjug @qulshtm interesting, though my analysis is that al-shabaab is metamorphosing into a regional terror group, not declining. — charles onyango-obbo (@cobbo3) september 22, 2013

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.

Få en bättre översättning med
7,793,433,690 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK