Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
lakini yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
and he straitly charged them that they should not make him known.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.
of whom be thou ware also; for he hath greatly withstood our words.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
aina nne za ukali wa nimonia ya virusi inaza kuchunguzwa:
four types of severity of viral pneumonia can be observed:
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hakika sisi tunazo pingu nzito na moto unao waka kwa ukali kabisa!
for with us there are fetters, and a furnace,
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ukali wa ugonjwa katika jamii ambapo biashara iko huathiri mwitikio unaochukuliwa.
the disease severity in the community where the business is located affects the responses taken.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
tunahangaiko kubwa na viwango vya maambukizi na ukali na viwango vya kuogofya ya kutotenda.
we are deeply concerned both by the alarming levels of spread and severity and by the alarming levels of inaction.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ukali wa kifo hutokana na dhambi, nayo dhambi hupata nguvu yake katika sheria.
the sting of death is sin; and the strength of sin is the law.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kulingana na ukali, tiba ya kuongezwa hewa, dripu, na msaada wa kupumua huweza kuhitajika.
depending on the severity, oxygen therapy, intravenous fluids, and breathing support may be required.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kuna ripoti ya maandamano katika vyuo vikuu vingine katika mikoa na wale ambao waliamua kujiunga na maandamano wamekosolewa kwa ukali.
there are reports of protests in other universities in provinces and those that have decided not to join the protests are harshly criticized.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
siasa za kisudan kusini zimehusishwa na vita vya ukali wa kiwango cha chini, vurugu baina ya makabila na desturi za mamlaka zilizojengwa juu ya msingi wa vurugu.
south sudanese politics is interwoven with low intensity warfare, inter-ethnic violence and norms of authority grounded in violence.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
basi, hao wazee wa baraza wakawaonya kwa ukali zaidi, halafu wakawaacha huru. hawakuweza kuwapa adhabu kwa sababu watu wote walikuwa wakimtukuza mungu kwa sababu ya tukio hilo.
so when they had further threatened them, they let them go, finding nothing how they might punish them, because of the people: for all men glorified god for that which was done.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hata hivyo, covid-19 ina hali ya chini ya ukali na viwango vya vifo kuliko sars lakini uwezo mkubwa wa kupitishwa na kuambukiza watu wazee kuliko vijana na wanaume zaidi ya wanawake.
however, covid-19 has lower severity and mortality than sars but is much more transmissive and affects more elderly individuals than youth and more men than women.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mpishi makini, shauku ya samak kwa chakula cha kithai ilimfanya awe maarufu kwenye masoko ya kuuza vyakula vya vibichi mjini bangkok na ukali wake, na namna yake ya kuchukulia mambo isiyo na porojo ilimfanya awe mwongoza kipindi maarufu wa kipindi cha mapishi katika luninga za thailand.
a keen chef, samak’s passion for thai food made him a regular at the fresh food markets of bangkok and his gruff, no-nonsense approach made him a popular host of a cookery show on thai television.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hata hivyo, 80% yao walihitaji mashine za kusaidia kupumua, kuliko wagonjwa wa covid-19 na hii inaoana na hali ya ukali wa mers kuliko covid-19.
however, 80% of them required ventilation support, much more than covid-19 patients and consistent with the higher lethality of mers than of covid-19.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…
they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: