You searched for: umenisahau hata kwenye kula jamani (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

umenisahau hata kwenye kula jamani

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

nadhani inatakiwa kufanyika pote, hata kwenye maeneo ya kazi ya utawala wa juu watumie vyoo hivyo hivyo!

Engelska

i think it should be done across the board, even at work places top management sharing the same toilets!

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

haya yameonekana hata kwenye nchi zile ambazo hazijawahi kuwa na ukomo wa vipindi vya urais na hata kwenye nchi zile zilizoondoa ukomo huo katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.

Engelska

this is true even in those countries that have never had term limits and those that have removed them in the past 15 years.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa kuwa majengo mengi ya shule bado siyo salama, wanafunzi hujifunzia katika maeneo ya wazi, na maeneo mengine, hata kwenye majengo ambayo ni hatari.

Engelska

since many school buildings are not safe, classes are run out in the open and in some places, even inside risky buildings.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hoteli za wanawake au hoteli zinazotenga safu nzima ya ghorofa kwaa jili ya wanawake zipo karibu katika kila jiji kubwa (na hata kwenye miji isiyo mikubwa) duniani.

Engelska

women hotels or women-only floors are actually common in most major cities (and some not so major) all over the world.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ninatumia uhuru wangu wa kujieleza kwa watu kwa nafasi yangu binafsi, kwenye mitandao ya kijamii, gerezani, kwenye chumba cha mahakama, na hata kwenye vyumba vya polisi vya mahojiano.

Engelska

i practice my free speech rights in a public sphere, in my own private space, on social media, in prison, in a court room, in a police interrogation rooms.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kamayani wa mtandao wa kracktivist anasema kuwa dhana ya saa nzuri kupata punguzp la bei, ambayo ni maarufu sana kwenye vilabu vya pombe, mahotelini na hata kwenye majengo ya sinema, imeingia hadi kwenye sekta ya afya nchini india.

Engelska

kamayani at kracktivist reports that the happy hours discount concept, which is popular across bars, restaurants and multiplexes, is now catching up in the indian health care sector.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mwanafunzi huyu mdogo wa ki-ivory coast, mpiga picha mwenye taaluma hiyo ambaye hukodiwa kwa muda maalumu, aliziona picha zake za milipuko ya fataki zikiwa zimechapishwa na magazeti fulani ya nchi hiyo na hata kwenye mtandao maarufu zaidi wa kukusanya habari nchini humo –pasipo ruhusa yake.

Engelska

this young ivorian student, a professional part-time photographer, saw her photos of the fireworks display published by certain ivorian newspapers and even the largest online ivorian information portal - without her permission.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.

Få en bättre översättning med
8,040,617,933 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK