Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
ukatili dhidi ya wanawake wazawa umeongezeka siku za hivi karibuni.
violence against indigenous women has increased in recent times.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
alitueleza kwamba ubora wa chakula kule gerezani umeongezeka kidogo tangu ramadhani iliyopita ...
he told us the quality of food since last ramadan became better in prison...
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lakini pia, eduardo anaonyesha kuwa, kwa miaka mingi, upinzani unaolekezwa kwa chávez umeongezeka kadiri matatizo yanapoendelea kuwa dhahiri.
but eduardo also points out that, over the years, opposition to chávez has grown as problems become more evident.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kama matokeo ya janga hili la virusi vya korona, ubaguzi wa wageni umeongezeka katika nchi nyingi, kimsingi lakini sio tu unaowalenga watu wanaochukuliwa kuwa wachina.
as a result of the coronavirus pandemic, xenophobia has risen in many countries, primarily but not exclusively targeting people perceived to be chinese.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kadri miezi ilivyopita, wasiwasi nao umeongezeka zaidi kiasi kwamba wanawake wengi wameungana kwenye tovuti za kijamii ili kuweka maoni yao waziwazi. wanafanya hivyo ili kubadilishana taarifa pamoja na kupanga hatua gani za kisheria wachukue.
as the months passed, the concern has been growing, so much so that many woman have come together on social media websites to air their opinions and share information as well as to organize legal action.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kule hong kong, ubaguzi dhidi ya uchina, ambao ulikuwa juu tayari, umeongezeka kama matokeo ya janga hili, matokeo yake yakisababisha maduka na mikahawa ikiwanyima huduma wateja kutoka china kuu na kuwapiga marufuku wanenaji wote wa kimandarini katika majengo yao (isipokuwa taiwanisi).
in hong kong, sinophobia, which was already high to begin with, has intensified as a result of the pandemic, with the result that many shops and restaurants are now denying service to mainland chinese customers and banning mandarin speakers from their premises (with the exception of taiwanese).
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: