You searched for: vumbi nyepesi ya maeneo pana inayopeperuka (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

vumbi nyepesi ya maeneo pana inayopeperuka

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

kwenye baadhi ya maeneo ya afrika, hakuna mtandao wa mawasiliano.

Engelska

in some areas of africa, there is no telecommunications coverage.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hapa unaweza kuona video ya moja wapo ya maeneo yaliyoathirika na mafuriko :

Engelska

here is a video of one of the flooded borough :

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

jumla ya maeneo 415 katika manispaa/miji 68 zilirekodi visa vya mafuriko.

Engelska

about 415 areas in 68 municipalities/cities recorded flood cases.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

rais ravalomanana alikwenda kwenye moja ya maeneo yaliathirika na kimbunga ili kutathmini madhara yaliyotokea.

Engelska

president ravalomanana president flew to one of the affected areas to assess the extent of the devastation.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

baadhi ya maeneo yanaruhusu makundi madogo; mengine yanakataza mikusanyiko yote ya makundi.

Engelska

some areas permit small groups; others prohibit all group gatherings.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

karibu matukio 500 ya moto wa msituni yalirekodiwa katika kisiwa cha sumatra mwezi agosti matukio ambayo yalisababisha vumbi nene kutimka angani riau nchini indonesia na hata katika baadhi ya maeneo ya malaysia.

Engelska

nearly 500 forest fires were recorded in sumatra island last august which caused a thick haze to descend on riau in indonesia and even in some parts of malaysia.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

picha kutoka kesennuma, wilaya ya miyagi, japani, moja ya maeneo yaliyoharibiwa sana na tsunami.

Engelska

picture from kesennuma, miyagi prefecture, japan, one of the areas hardest hit by the tsunami.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ongezeko la idadi ya watu katika baadhi ya maeneo hudhoofisha nguvu ya mtandao, kutokana na matumizi makubwa ya umeme.

Engelska

growth of populations in some areas weakens network strength, due to the drain on power.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hata hivyo, viwango vya juu vya umaskini vya awali vililivyokuwa vyafanya watu kubaki nyuma na katika baadhi ya maeneo huduma za msingi hazijatengemaa

Engelska

however, high levels of pre-existing poverty are holding people back and in some areas basic services have not been re-established.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hadi sasa ugojwa huu umeonekana zaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi za sudani ya kusini,tanzania na upande wa kaskazini mwa uganda.

Engelska

it is currently restricted to small regions in south sudan, tanzania and northern uganda.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa sasa hivi ueneaji huo unaathiri mavuno, unasababisha kupanda kwa bei za vyakula vilivyopo, na katika baadhi ya maeneo, hata wanyama wanakufa.

Engelska

at this moment it’s destroying harvests, driving up the price of remaining food, and in some areas, animals are dying.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ilikuwa ni uchunguzi huu wa kufahamu zaidi kuhusu watu walioishi katikati ya maeneo haya matupu ndio ulionifanya nirudi mwezi januari 2004, na septemba 2004 nilihamia nouakchott na bado ninaishi hapa.

Engelska

it was this curiosity of knowing more about the people that lived in the middle of these vast empty spaces that made me come back in january 2004, and in september 2004 i moved to nouakchott and i'm still here.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mchoro wenye taarifa umekuwa ukisambaa katika majukwaa ya vyombo vya habari vya kiraia kuonyesha kwamba bolivia ni kati ya maeneo ya mwisho kabisa katika sekta ya ubora wa kasi ya mtandao barani amerika ya kusini.

Engelska

an infographic that has been circulating on social media platforms shows that bolivia is among the last places in connectivity and bandwidth in latin america.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

k abahati mbaya, kwenye baadhi ya maeneo maandamano yalikabiliwa na usumbufu wa hapa na pale, hasa uliosababishwa na watu wengine wasiokuwa wanafunzi na ambao hawakuwa na maslahi yoyote kwenye madai hayo.

Engelska

unfortunately, in some places the marches were overshadowed by disturbances, mostly caused by people other than students and who had nothing to do with their demands.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

guatemala ina maeneo19 ya uoto asilia, 300 yenye hali ya hewa tofauti, zaidi ya maeneo ya volkeno 37, mito, maziwa na fukwe ambavyo vinaungana na utofauti wetu wa makabila na kuifanya nchi hii kuwa ya ajabu na ya kupendeza.

Engelska

guatemala has like 19 ecosystems, 300 microclimates, more than 37 volcanoes, rivers, lakes and beaches that are united in our ethnic diversity forming a destination of mystical magic and adventure.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

jina linamaanisha sifa ya kuonekana ya chembe cha virusi (umbo ya kuambukiza ya virusi) na darubini ya elektroni, ambavyo vina taswira ya maeneo kubwa, ya mviringo inayounda picha ya ukumbusho wa taji au korona ya jua.

Engelska

the name refers to the characteristic appearance of virions (the infective form of the virus) by electron microscopy, which have a fringe of large, bulbous surface projections creating an image reminiscent of a crown or of a solar corona.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ni muhimu pia kuwa na angalizo kuwa, katika harakati za kukabiliana na ebola, baadhi ya maeneo ya metropolitani kama vile ya jiji la télimélé, yamekuwa na kinga kubwa ya kukabiliana na kirusi cha ebola kuliko maeneo mengine, ishara ya matumaini inayoweza kudhibitisha umuhimu wa tafiti za kitabibu zinazoendelea.

Engelska

it is also important to note that, in the race to cure ebola, certain metropolitan areas such as the city of télimélé, have been more resistant to the virus than others—a hopeful sign that could prove crucial to the medical research now underway. follow our in-depth coverage: the struggle to #stopebola in west africa

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

jamii yangu ilikua ikiangaliamy generation grew up watching venezuelan soap operas on tv, kwa hiyo baadhi ya maeneo maarufu yalikuwa siyo mageni kwangu: chacao, chacaíto, bikira wa chiquingirá. kwa hiyo, yalikuwa ni maongezi ya mahadhi niliyoyagundua yaliyokuwa yakinifuata kila nilipokuwepo, baada ya siku chache.

Engelska

my generation grew up watching venezuelan soap operas on tv, so some popular areas were familiar to me: chacao, chacaíto, the virgen of chiquingirá. so was the rhythmic speaking that i noticed was following me everywhere.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.

Få en bättre översättning med
7,787,134,392 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK