Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
wanablogu walitaka kuwa sauti ya eneo hili la tisa.
the bloggers wanted to be the voice of this ninth zone.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
teknolojia za uchunguzi wa kidijitali zinajumuisha pogramu, data ya eneo na vitambulisho vya kielekroniki.
the digital surveillance technologies include apps, location data and electronic tags.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hata vivyo, historia ya eneo hili, hususani mti wa ténéré, ni wa kipekee sana.
the history of the region, and more specifically the tree of ténéré, however, is quite unique.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
moja ya eneo la soko imewekwa sanamu yake, inamtambulisha el yanga kama mmoja wa watu wajasiri na wa kujivunia.
one of the town’s plazas shows his statue, presenting el yanga as a defiant, proud man.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kadhalika, zaidi ya wanachama 100 wa nld na mashabiki wa nld walijitolea damu katika hospitali ya eneo hilo ili kuvutia watu waelewe juu ya kuachiwa kwa suu kyi.
more than 100 nld members and supporters also donated blood at a local hospital to draw attention to her release.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
katika shambulio lililopita la mehran ilichukua siku mbili kurejesha hali ya usalama...na hili ni kubwa mara kumi ya eneo la mehran...!!!
it covers ten times the area of mehran base....!! — abdullah mukaddam (@abmukaddam) june 8, 2014
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
alifafanua kwamba njia ya ndege hiyo angani, hata kama ilikuwa inapita juu ya eneo lenye mgogoro, ilitangazwa kuwa salama na shirika la kimataifa la safari za anga.
he also clarified that the aircraft’s flight route, even if it passed directly above a conflict zone, was declared safe by the international civil aviation organisation.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hata hivyo, sio mifumo yote yenye seva kuu inayohitaji kuwa na ufikiaji wa data ya eneo la kibinafsi; mifumo kadhaa ya utunzaji wa faragha imeundwa ambayo hutumia seva kuu tu kwa ajili ya mawasiliano (angalia sehemu hapa chini).
however, not all systems with central servers need to have access to personal location data; a number of privacy-preserving systems have been created that use central servers only for intercommunication (see section below).
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ulinganishaji wa kisa hicho na kingine kilichotokea mwaka jana cha mwanamke mmoja katika wilaya ya minhang shanghai aliyewatupia mafundi waliokuwa wakijiandaa kuvunja nyumba yake mabomu ya petroli aliyoyatengeneza, katika eneo ambapo kutakuwa kitovu cha usafirishaji kwa ajili ya eneo la kibiashara la shanghai 2010.
comparisons were made with a case that happened last year, where a woman in the minhang district of shanghai threw self-made petrol bombs at a demolition crew preparing to destroy her house, which is the site of a transportation hub for the 2010 shanghai expo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lengo la somalia speaks ni kukusanya sauti ambazo hazisikiki kutokea ndani ya eneo vile vile kutokea kwa wasomali walio ughaibuni kwa kuuliza kupitia ujumbe mfupi wa simu za mkononi: kwa jinsi gani mgogoro wa somalia umekuathiri?
the goal of somalia speaks is to aggregate unheard voices from inside the region as well as from the somalia diaspora by asking via text message: how has the somalia conflict affected your life?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
fomu ya utambuzi wa maelezo ya kazi nimepokea nakala ya maelezo ya kazi kwa nafasi yangu: nafasi: tarehe ya _______________________________________________________________ mapitio: _________________________ nimepitia maelezo haya ya kazi na ninaelewa majukumu na majukumu yangu yote ya kazi. ninaweza kufanya kazi muhimu kama ilivyoainishwa. ninaelewa kuwa kazi yangu inaweza kubadilika kwa muda au mara kwa mara kulingana na mahitaji ya eneo langu au idara bila hiyo
job description acknowledgement form i have received a copy of the job description for my position: position: _______________________________________________________________ revision date: _________________________ i have reviewed this job description and i understand all my job duties and responsibilities. i am able to perform the essential functions as outlined. i understand that my job may change on a temporary or regular basis according to the needs of my location or department without it
Senast uppdaterad: 2024-12-31
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.