Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
wafilipino wauliza 'rais yuko wapi?'
filipinos ask 'where is the president?'
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wafilipino walitumia alama habari #maringph na #floodph kufuatilia hali ya mafuriko katika manila na mikoa ya jirani.
filipinos used the hashtag #maringph and #floodph to monitor the flood situation in manila and nearby regions.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wafilipino watumiao mitandao walikumbushana namna rais aquino alivyokuwa mwepesi kutoa muda wake kuhudhuria shughuli za zinazoandaliwa na makampuni makubwa wakati akikosekana kwenye majanga mengi makubwa yaliyoliathiri taifa.
filipino netizens recalled how president aquino was quick to looking after big corporations and attending celebrity events while being absent in many of the big tragedies that befell the nation.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
alama habari #nasaanangpangulo, yenye maaana 'rais yuko wapi' katika lugha ya kitagalog, ilikuwa mada maarufu zaidi kwenye mtandao wa twita duniani wakati wafilipino walipokuwa wakionesha hasira zao kwa rais noynoy aquino kufuatia kukosekana kwake kwenye mapokezi ya heshima ya miili ya polisi waliouawa wakiwa kwenye operesheni maalum.
the hashtag #nasaanangpangulo, which means “where is the president” in tagalog, became the top trending topic on twitter worldwide as filipinos expressed their outrage at president noynoy aquino for skipping the arrival honors for elite policemen killed in a special operation.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: