You searched for: waganda (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

waganda

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

waganda wana kila sababu ya kuwa na wasiwasi.

Engelska

ugandans have reason to be skeptical.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

waganda walio kwenye twita nao pia wana hofu:

Engelska

ugandans on twitter are equally worried:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

unaona, sisi ni watu waliotengwa ambao hatuwezi kufanana kamwe na waganda wengine.

Engelska

you see, we are a pariah people that will never be like all other ugandans.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

waganda walio kwenye mtandao wanaripoti kwa uangalifu mkubwa kuhusu kampeni ya kutembea kwenda kazini.

Engelska

ugandans online have been reporting diligently on the walk to work campaign.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa waganda mapungufu yote ya utawala wa m7 kwa kweli ni kama muziki mtamu na welekeo sahihi wa mambo.

Engelska

for them all those failures of m7 regime are in fact sweet music and the right direction.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mwanablogu gay uganda anaonyesha utata katika matamko ya serikali ya uganda kwa nchi za magharibi na kwa waganda wenyewe:

Engelska

blogger gay uganda points out the contradictions in the ugandan government's messages to the west and to ugandans themselves:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ahadi nyingi lakini hakuna maono mengi, hakuna kinachofanyika katika hali halisi, lakini asilimia 69 ya waganda wanaamini nchi yao iko kwenye uelekeo sahihi wa kimaendeleo

Engelska

@tomddumba many promises no action, many visions, no work on ground, but 69% of ugandans believe the country is going in the right direction — kemigisa jacky (@jackykemigisa) march 21, 2015

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

waganda kwenye mtandao wa twita, nao kadhalika, walikuwa na maoni kuhusiana na matokeo hayo, kwa utumia alama habari ya #iriugandapolls.

Engelska

ugandans went to twitter, too, to comment on the results, with hashtag #iriugandapolls.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

matokeo haya yaliibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vikuu vya habari, na wachambuzi wengi walihoji iweje waganda wengi wafikiri nchi yao, iliyotawaliwa na rais yoweri museveni kwa karibu miongo mitatu, ilikuwa kwenye mwelekeo sahihi wa kimaendeleo.

Engelska

the findings prompted a lively debate in social networks and on mainstream media, with many commenters questioning how so many ugandans could think the country, where president yoweri museveni has ruled for nearly three decades, was headed in the right direction.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ilhali kampeni la kony 2012 hakika limepata usikivu lililotaka, waganda na waafrika wengi wanaona kwamba ujumbe wake umekosa muktadha na maelezo sahihi kuhusu joseph kony. zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.

Engelska

while the kony 2012 campaign certainly received the attention it sought, many ugandans and africans felt its message lacked the nuance required by context, and was more focused on raising funds for the organisation's own survival rather than empowering the people affected by the conflict.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wakati ambapo muda wa gharama za bunge ulitakiwa kutumika kisheria katika mambo ambayo yana tija kwa maisha ya watu wa nchi hii; wakati watunga sheria wa uganda na serikali ya uganda ilitakiwa kuguswa na ustawi wa waganda wanaoteseka, (ikijumisha watu wale wanaowapenda watu wa jinsia yao katika jamii yao, ambao wanahatarishwa kwa matumizi ya nguzu na unyanyapaa); wakati ambapo mamlaka za uganda zilitakiwa kuangalia namna ya kulinda wale wananchi wa vijijini ambao ustawi wao ni jukumu lao; wakati ambapo changamoto zinazolikabili bara letu katika karne hii ya 21 zinatisha; tunachokisikia badala yake ni muswada wa kupinga ushoga ukiletwa bungeni.

Engelska

at a time when expensive legislative time should be judiciously expended on the issues that really matter to the people of the country; when ugandan lawmakers and the ugandan government should be concerned about the welfare of vulnerable ugandans, (including those same-gender loving men and women in their society, who are susceptible to wanton physical abuse and discrimination); when the ugandan authorities should be looking to protect those of the country's citizens whose welfare is their responsibility; when the challenges that face our continent in this 21st century are enormous; what we hear of instead is an anti-homosexuality bill being introduced to parliament.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,747,812,587 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK