Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
and when his disciples were come to the other side, they had forgotten to take bread.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
baada ya kuwatembelea ndugu kadhaa…walijikuta wakizungukwa na polisi wanaotumika kisiasa mara tu walipowasili kwenye jimbo la holguin.
after visiting some relatives...they were intercepted by the political police upon arriving to the province of holguin.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
waandamanaji walijikuta wakikabiliana vikali na polisi, na baadae, wakati wa vurugu hizo, waandamanaji walifikia hatua ya kupindua magari ya polisi.
the protest turned into a confrontation between police and protestors, the latter turned over police cars in the process.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
raia wa hungaria na slovakia walijikuta wakishuhudia wanasiasa wao wakianza hata kuhusisha taasisi ya jumuiya ya ulaya, yaani, shirika la usalama na ushirikaiano la ulaya, kwa kifupi osce, katika mivutano hiyo.
hungarian and slovak people could even see their politicians involving an eu institution, the organisation for security and co-operation in europe (osce) into their discussion.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
serikali ya mbeki ilikataa katakata kuona uhusiano uliopo kati ya vvu na ukimwi, na waziri wake wa afya alijenga hoja kwamba hata dawa za kurefusha maisha, ambazo kwa kweli zimeonyesha kusaidia katika juhudi za kukabili gonjwa hili, zilikuwa ghali mno ... wataalamu wa afya wanaofanya kazi nchini afrika ya kusini na ambao walipingana waziwazi na nadharia za kushangaza za waziri huyu walijikuta wakifanywa kuwa wahanga."
mbeki’s government refused to accept the role the hiv virus has in the spread of aids, and his health minister stated that anti-retroviral drugs, which have been shown to have some effect in fighting the disease, were too expensive…medical professionals working in the south african health service who publicly disagreed with the minister’s bizarre theories have been victimised."
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering