Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
watu wengi walijua haikuwa kweli.
too many people knew it wasn‘t true.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
and they laughed him to scorn, knowing that she was dead.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
paulo alitaka timotheo aandamane naye safarini, kwa hiyo alimtahiri. alifanya hivyo kwa sababu wayahudi wote walioishi sehemu hizo walijua kwamba baba yake timotheo alikuwa mgiriki.
him would paul have to go forth with him; and took and circumcised him because of the jews which were in those quarters: for they knew all that his father was a greek.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wanajua kuwa, kama utawala utaachia ngazi, watapoteza kila kitu, kwa sababu, serikali ilipokuwa na mamlaka yote ya kuongoza, walijua wangeweza kufanya lolote na kusingekuwa na yeyote wa kuwapa adhabu.
they know that when the regime will fall they will lose almost everything, because when the regime was in control they knew they could do anything and no one would punish them.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
waandaaji bila ya shaka walijua jinsi ya kufikisha ujumbe wao: fulana nyeusi zenye maandishi meupe “y'en a marre” ziligawanywa kwenye umati.
the organisers certainly knew how to get their message across: black t-shirts with "y'en a marre" in white letters were distributed around the crowd.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
alaa abd el fattah alifungwa jela chini ya utawala wa hosni mubarak kwa siku 45 na tena na baraza kuu la vikosi vya jeshi mwaka 2011, ambapo yeye alibakia jela kwa karibu miezi miwili. vilevile alikakabiliwa na mashtaka chini ya utawala wa mohamed morsi mwaka wa 2013, pamoja mwandishi maarufu anayetumia jina la uandishi bassem youssef, katika kile wengi walijua kuwa mashtaka ya kisiasa kutumika kama mbinu ya vitisho.
alaa abd el fattah was jailed under hosni mubarak's regime for 45 days and again by the supreme council of the armed forces in 2011, when he remained in jail for almost two months. he also faced charges under mohamed morsi's government in 2013, along with popular satirist bassem youssef, in what many perceived to be politically motivated charges used as an intimidation tactic.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: