You searched for: walioshiriki (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

walioshiriki

Engelska

walishiriki

Senast uppdaterad: 2023-02-07
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

mekfoula brahim anawapa heshima wale wote walioshiriki maandamano hayo :

Engelska

mekfoula brahim salutes all those who took part in it :

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

jenerali abdel aziz ni miongoni mwa walioshiriki mapinduzi ya kijeshi nchini mauritania mwaka 2005.

Engelska

general abdel aziz was also involved in a 2005 coup d'état in mauritania.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

sababu ilikuwa kwamba dhamiri yake ilimshtaki baada ya kuwa amewanyanyasa raia walioshiriki katika mkesha wa tukio la kuwasha mishumaa.

Engelska

the reason was that he felt guilty after suppressing civilians who attended candlelight vigils.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwanza, binadamu wala sio alpaca ambao ni wanyama huenda walikuwa na mgusano na popo katika mazingira walioshiriki ya kiekolojia.

Engelska

first, humans but not alpacas might have contact with bats in a shared ecological niche.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

walimu hao wamekuwa wakihamishwa kuwaadhibu wale wote walioshiriki katika mgomo wa mwaka uliopita kushinikiza kuboreshwa kwa mazingira ya kazi katika sekta ya elimu.

Engelska

the transfers were made to punish teachers who participated in last year's strikes demanding the improvement of the conditions of employees in the education sector.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

nchini uganda, asilimia 65 wa watu walioshiriki utafiti huu wanaunga mkono ukomo wa madaraka, suala ambalo linaendelea kubeba umuhimu kila uchao.

Engelska

in uganda, 65 percent of respondents in this poll support the respect of term limits, an issue that grows more relevant by the day.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

lakini pale vyombo vya habari visipoonyesha picha za wanawake walioshiriki, inaonekana kana kwamba hawajajikita kwenye mapinduzi; wanatolewa nje ya historia.

Engelska

but when the media doesn’t show images of women involved, it appears as if they aren’t entrenched in rallying revolutions; they are written out of history.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

taarifa kuhusu asilimia ya wafanyakazi walioshiriki mgomo ni kati ya asilimia 90 hadi 95 ya wafanyakazi wote wa afya", kipindi cha the stream cha aljazeera kiliripoti tarehe 28 mei.

Engelska

"reports on the percentage of participating strikers range from 90 to five percent of the medical workforce", aljazeera's the stream reported on may 28.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

tukio la kwanza kama hili lilifanyika novemba 15 2013 na liliwaleta si tu watu wanaojua masuala ya kidijitali, lakini pia mashirika makubwa yaliyo mstari wa mbele katika uandishi huu mpya na wale walioshiriki katika kukuza uandishi wa habari za kiraia nchini uganda.

Engelska

this first of a kind event will be held on november 15th 2013 and will bring together not just the digitally aware, but also corporate organizations at the forefront of new media and those who have contributed to the growth of social media in uganda.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

baada ya kuongea na maafisa wote 34 wa polisi walioshiriki kwenye zoezi hilo la kipolisi, hatuwezi kuthibitisha kwamba wote waliotajwa kwenye malalamiko walihusika kwenye tukio hilo, au walinyang'anywa na kufutiwa picha na video zao.

Engelska

after speaking with all 34 officers who participated in the police activity, we can’t determinate that anyone was involved in the event as it is specified in the petition, or confiscated and deleted recorded photo and video material.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

wanablogu walioshiriki walitaarifiwa kwamba collins mbalo ambaye huendesha blogu inayoitwa ‘a nairobian’s perspective’ na ambaye ni mwandishi wa global voices, atatoa ushauri wake kuhusu masuala ya kisheria hasa kuhusiana na kugushi na ukiukwaji wa hakimiliki, miongoni mwa mambo mengine mengi.

Engelska

bloggers in attendance were informed that collins mbalo who runs the blog ‘a nairobian’s perspective’ and a fellow global voices author, would offer his advice on legal matters like plagiarism and copyright infringement among others.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,794,121,597 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK