Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mawazo na maombi yangu yako na familia za wanaosafiri na ndege #mh370.
my thoughts and prayers are with the family members of flight #mh370.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
huko hong kong, mamlaka zinataka watu wawe na bangili na programu ya simu kwa wote wanaosafiri.
in hong kong, authorities are requiring a bracelet and an app for all travellers.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
dubai, sydney, na melbourne pia ziliripotiwa kama vituo vipendavyo ya watu wanaosafiri kutoka wuhan.
dubai, sydney, and melbourne were also reported as popular destinations for people travelling from wuhan.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
alama ishara hiyo imekuwa maarufu kwa wale wanaosafiri kwenda afghanistan kubadilishana picha ambazo watu nje ya nchi hiyo huziona mara chache katika vyombo vya habari.
the hashtag has become a popular photo tag for those who travel to afghanistan to share the images that people outside of the country rarely see in conventional media.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
huenda ndege zikaghairishwa bila ilani, aidha kwa sababu ya kuenea kwa ugonjwa na vikwazo vya kuingia vinavyobadilika sana, au kwa sababu ya watu wachache wanaosafiri na mashirika ya ndege kuwa na matatizo ya kujaza viti.
flights may get canceled with little notice, either due to the disease's spread and ever-changing entry restrictions, or simply because fewer people are flying and airlines are having trouble filling seats.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
siku za nyuma wakati nilipokuwa nikisafiri safari nyingi za kimataifa, nilikuwa nikifurahia kupanga katika hoteli zenye safu maalumu kwa ajili ya wanawake pekee. haswa katika majiji ya kigeni ambayo hayakuzoea kuwa na wafanyabiashara wanawake wanaosafiri peke yao.
back in earlier times when i was doing a lot of international travel, i enjoyed staying on a women-only floor, especially when in foreign cities which were not as accustomed to business women traveling alone.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
akaniambia: paulo usiogope! ni lazima utasimama mbele ya kaisari; naye mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa wote wanaosafiri nawe wasiangamie.
saying, fear not, paul; thou must be brought before caesar: and, lo, god hath given thee all them that sail with thee.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: