Fråga Google

You searched for: wanatarajiwa (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

Wanaharakati wengine watatu wa FEMEN, Wafaransa wawili na Mjerumani mmoja pia wanatarajiwa kujibu mashtaka Juni 5.

Engelska

Three other FEMEN activists, two French and one German are also set to stand trial on June 5.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

Zelalem, Yonathan na Bahiru wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kati ya Novemba 7-9, 2015.

Engelska

The next court appearance of Zelalem, Yonatan and Bahiru is Monday, 23 November 2015.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

Wanadiplomasia wa Kihindi wanatarajiwa kukutana na wenzao wa Australia kwa ajili ya mazungumzo ya kutatua tatizo hili huko Canberra leo kufuatia kifo cha muhamiaji wa Kihindi mjini Melbourne.

Engelska

INDIAN diplomats are expected to meet their Australian counterparts for crisis talks in Canberra today following the murder of an Indian migrant in Melbourne.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

Wanatarajiwa kufungwa kifungo cha miezi sita kwa kufanya maandamano wakiwa na vifua wazi nje ya makao ya mahakama ya Tunis mnamo Mei 29 kumuunga mkono Amina.

Engelska

They each face a six-month imprisonment after they staged a topless protest outside a Tunis-based court on May 29 in support of Amina.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

Wakati wagombea wa awali walikuwa wapya kabisa wasiofahamika sana, wanasiasa wachache machachari wanaofahamika wanatarajiwa kugombea akiwemo rais wa zamani Didier Ratsiraka, rais wa sasa wa mpito Andry Rajoelina na mke wa rais wa zamani Ravalomanana, anayeitwa Lalao Ravalomanana.

Engelska

While the earlier candidates were relatively new to the general public, a few prominent political players from the past are expected to contest: former president Didier Ratsiraka, current president of the transition Andry Rajoelina and the spouse of former president Ravalomanana, Lalao Ravalomanana.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

Kama Muislamu, ninajua kuwa Qur’an inahubiri uadilifu katika kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, lakini kushupaliwa huku kwa wanawake na wahafidhina kunamaanisha kuwa ni wanawake tu ambao wanatarajiwa kuzingatia makatazo juu ngono nje ya ndoa.

Engelska

As a Muslim, I know the Qur’an preaches chastity for men and women, but the conservative obsession with women means only females are expected to abide by the prohibition on extramarital sex.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

Daudi Oliveira de Souza, daktari na profesa wa Taasisi ya Utafiti wa Hospitali ya Sirio-Libanés, alituma barua ya wazi kwa madaktari zaidi ya mia nne wa Cuba ambao hivi karibuni waliwasili nchini Brazil wanaoanzisha kundi la kwanza la jumla ya madaktari 400 ambao wanatarajiwa kuja nchi hii kabla ya Desemba mwaka huu.

Engelska

David Oliveira de Souza, a doctor and professor from the Research Institute of the Sirio-Libanés Hospital, sent an open letter to the more than four hundred Cuban doctors who recently arrived in Brazil and who constitute the first group of a total of 4,000 physicians who are expected to come to this country before December of this year.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
4,401,923,520 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK