Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mfano wa barua ya watendaji wa mtaa
example letter of local executives
Senast uppdaterad: 2022-05-27
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
lakini watendaji wa wizara hawakupendezwa na maoni yaliyokuwa hasi.
but ministry officials didn’t like the negative comments.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
inakadiriwa kwamba watoto, wengi wakiwa kati ya miaka minane na 16, wanakaribia asilimia 60 ya wapiganaji katika eneo hilo.
it is estimated that children, most between 8 and 16 years old, make up 60% of combatants in the region.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
israel yoroba jijini abidjan anaripoti kuhusu msongamano huo wa kutisha wakati watu wengi wakiwa wamekusanyika kusubiri kushuhudia milipuko ya fataki kuashirika mwaka mpya katika wilaya ya plateau.
israel yoroba in abidjan reports on a lethal stampede as people gathered to watch fireworks at the plateau district to ring in the new year.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kwa upande wake, kong rithdee, katika makala aliyochapisha kwenye blogu inayoitwa bangkok post, alishambulia vikali vitendo vya watendaji wa wizara hiyo.
kong rithdee, in his bangkok post blog, lambasted the reactions of the ministry officials
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
watendaji wa serikali wamethibitisha kwamba baadhi ya sehemu za ardhi ya wenyeji iliyo katika wilaya ya itakyry katika idara ya alto paraná ilinyunyiziwa wakati ambapo hakukuwa na mazao yoyote .
it is believed that these individuals became sick as a result of intentional aerial spraying with pesticide, after they refused to vacate their ancestral lands. governmental officials confirm that parts of the indigenous group's land located in the itakyry district in the department of alto paraná had been sprayed where no crops are present .
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
hii ni mifano michache tu ya wanawake duniani wanaotumia teknolojia ili kupambana na ufisadi, kukuza utendaji wa taasisi, na kutengeneza sera bora zaidi za kuwahusisha raia na papo hapo kuwafanya watendaji wa serikali kuwajibika.
these are surely just a few examples of women around the world who are using technology to challenge corruption, improve the performance of institutions, and create better policy to engage citizens and hold public officials accountable.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
krishna hari pushkar, amabye anafanya kazi katika wizara ya mambo ya ndani ya nepal, anaziweka baadhi ya lawama za mchakato wa amani unaoweweseka kwa “watendaji wa kigeni”:
krishna hari pushkar, who works for nepal's ministry of home affairs, puts part of the blame for the faltering peace process on "foreign actors":
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
kwa bahati mbaya, vikwazo kadhaa kutoka kwa watendaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari, hususani katika kipindi hiki, umetoa mwanya wa kuongezeka kwa hali ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa huu, na pia kuendelea kuongeza hali ya jamii kutokuamini uwepo wa ugojwa huu.
unfortunately, several actions against media by government actors, especially during these times, have simply given room to growing skepticism about the disease, and further exacerbating the denials within the community. we think this is unfair and improper.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: