You searched for: yaliyofanyika (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

yaliyofanyika

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

ninadhani kuna changamoto hivi sasa ya kuwalazimisha watu watafakari yaliyofanyika kwa miaka 50.

Engelska

i think there is a challenge right now of galvanizing the people to reflect on the past fifty years.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

maelfu ya vijana walishiriki kwenye maandamano ya kwanza ya wanafunzi yaliyofanyika mwaka huu mwezi machi huko concepción.

Engelska

thousands of young people participate in the first student march of the year in concepción.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

blogu ya d-r beloliki ilipakia mkusanyiko wa picha za maandamano ya tarehe 17 februari yaliyofanyika karibu nchini kote bulgaria.

Engelska

d-r beloliki blog posted a collection of photos of the feb. 17 protests across bulgaria.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hata hivyo, baada ya kufanyiwa upembuzi zaidi imeonekana kwamba hakuna mabadiliko yaliyofanyika kwenye mswada huo, na bado uko vilevile kama ulivyowasilishwa mwaka 2009.

Engelska

however, under further scrutiny it has been noted that no changes have been made in the bill, and it is still exactly the same one presented back in 2009.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

rebecca aliongeza kuwa, mradi ya kuandaa safu ya haki za digitali uliungwa mkono katika majadiliano yaliyofanyika katika kongamano la mwaka 2012 la global voices lililofanyika nairobi, kenya.

Engelska

rebecca added that ranking digital rights was inspired by a conversation that took place at the 2012 global voices summit in nairobi, kenya.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

maandamano yaliyofanyika mwezi uliopita na uwepo wa askari jeshi kwa wingi ili kuzuia vurugu kwenye maandamano, jambo linaloleta kumbukumbu za vurugu zilizopata kutokea katika taifa hili kuhusiana na suala la mafuta.

Engelska

the protests last month and the active military presence in the cities to secure the protests somehow refreshed memories of the nation's past experience with fuel riots.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

katika maadhimisho ya mapinduzi ya serikali yaliyofanyika machi 17, 2009 nchini madagaska, vikwazo vinavyowalenga viongozi wa sasa wa madagaska vinaandaliwa kwa kushindwa kwao kuheshima makubaliano ya maputo ambayo hapo awali yalifikiwa na pande zote zinazohusika.

Engelska

on the anniversary of the coup d'etat of march 17, 2009 in madagascar, individual sanctions are about to be imposed upon the current leaders of madagascar for not respecting the resolutions of maputo that were previously agreed upon by all participants.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

katika maandamano ya awali, yaliyofanyika desemba 2014, maelfu ya watu walijitokeza kwenye mitaa ya skopje wakipinga ongezeko la kodi pamoja na ada inayotozwa kwa mujibu wa taratibu mpya za serikali zilizoanza kutumika rasmi tarehe 1 januari, 2015.

Engelska

in the first protest in december 2014, several thousand people took to the streets of skopje, marching against additional taxes and fees imposed by new government regulations, effective as of january 1, 2015.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

alan mills anasema ziwa halikuharibiwa usiku mmoja, bali ni matokeo ya maendeleo ya hovyo ya utalii yaliyofanyika hapo, na chupa nyingi tupu za bia na uchafu ulioachwa na tafrija za usiku, ambazo hazikubadilisha umasikini uliotopea wa wanavijiji waliozunguka, na wala haukuongeza utalii mzuri kwa mazingira.

Engelska

alan mills points out that the lake did not collapsed overnight but it was the result of the irresponsible hippie-chic tourism development that took place there, and all the empty beer bottles and rubbish left behind by wild parties, neither improving the living conditions of the extremely poor people from the villages around, which did not increase the environmental friendly tourism.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,793,749,539 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK