Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mpango huu unajumuisha maeneo na hatua zinazohitajika kwa ajili ya kupambana na magonjwa yanayoenezwa na virusi kama vile ebola.
this plan incorporates the scenarios and steps required to tackle epidemics of viral hemorrhagic fevers such as the viral disease ebola.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
matokeo yake, imani potofu zinawafunika vijana kuhusu vvu na magonjwa mengine yanayoenezwa kwa ngono, zaidi ni imani kwamba kuvuta bangi kunazuia maambuzi ya vvu.
hence, many myths abound amongst liberian youth about hiv and other sexually transmitted infections, prominent amongst which is the myth that smoking pot prevents hiv infection.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ilhali hakuna anayepinga umuhimu wa kuonyesha uhalifu uliotendwa na jeshi la kony, lijulikanalo kama lra, ripoti zifuatazo kutoka kwa raia wa kawaida zaeleza jinsi mjadala huu ni zaidi ya mawazo matupu yanayoenezwa kutumia mtandao, au meme kwa kiingereza, lakini ni vita vya kukomboa mawazo na mtazamo wa walimwengu kuhusu bara zima.
while no one argues with the merit of exposing the despicable crimes perpetuated by kony's lord's resistance army, the following citizen media commentaries explain why this debate is more than just a "meme war" but a struggle to reclaim the international perception and narrative about an entire continent.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering