Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
ghafla tu, kuna mwongezeko mkubwa wa maudhui yanayotoa taswira hasi ya mtandao wa facebook na mitandao mingine ya kijamii.
all of a sudden, there is a huge increase in number of mass media content highlighting the bad side of facebook and social media.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hii ni pamoja na kudai taarifa za mtumiaji kutoka kwenye makampuni yanayotoa huduma za intaneti na mitandao ya simu za mkononi.
this includes demanding information from internet service providers and mobile phone networks.
Senast uppdaterad: 2023-09-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
jijini cairo, mabango yanayotoa wito wa wafungwa wengine wanne wa kisiasa waliobaki katika kesi ya baraza la shura ambao hawapewa msamaha.
around cairo, posters calling for the four remaining political detainees from the shura council case not included in the pardon popped up.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanzilishi wa global voices, rebecca mackinnon, alitunukiwa tuzo ya knight news challenge kwa ajili ya kutayarisha safu ya kiulimwengu ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti.
global voices co-founder, rebecca mackinnon, was awarded a knight news challenge award to develop a global ranking of internet companies.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
muswada huo unawapa polisi mamlaka makubwa ya kupekua nyumba za watu wanaohisiwa kuvunja sheria hiyo, kukamata vifaa vyao vya kieletroniki, na hata kudai data zao kutoka kwa makampuni yanayotoa huduma za mtandao.
it gives police wide ranging ability to search the homes of suspected violators of the law, seize their electronic hardware, and demand their data from online service providers.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
tangazo hilo linaonyesha maneno sita yanayotoa mwanga mzuri wa rangi wa pande 3: tenda, sikiliza, ongoza, unganisha, jifunze na sema.
the installation features six illuminated 3-d action words: act, listen, lead, unite, learn and speak.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
watu ambao wamenyimwa uhuru kama adhabu ya makosa yao wanapaswa kuhakikishiwa angalau hali za maisha ya kawaida, na wakati mwingine haya hayapatikani kama inavyooneshwa katika masimulizi ya kina maisha ya magereza ya brazili, , yanayotoa suluhisho kwa kwa hali hii ngumu.
people who are being deprived of their liberty as punishment for their crimes should be guaranteed minimum living conditions, and sometimes these aren't met, as shown in the documentary of life in brazilian prisons, which also provides possible solutions for this difficult situation.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
"nilikuwa nikijadiliana na watu mbalimbali kuhusu namna ambavyo tunavyoweza kuyawajibisha makampuni yanayotoa huduma ya intaneti, hapo ndipo mohamed elgohary aliposema, "ningependa kuona orodha."
"i was brainstorming with a bunch of people about how we hold companies accountable, and mohamed elgohary said, "i'd like to see a list."
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering