Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
utalii wa ngono ni safari zinazohusisha vitendo vya gono, hususani na kahaba.
sex tourism is travel to engage in sexual activity, particularly with prostitutes.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
tunakiri kwamba katika kupitishiana hukumu, vyama vya kiraia katika nchi hizi mbili vinaweza kuambukizwa kwa njia iliyo ya chanya kwa msaada wa kampeni zinazohusisha pande mbili.
we submit that in the judgement of each other, the two countries' civil society can be influenced positively by the courtesy of a bilateral campaign.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
blogu ya vijanafm inaorodhesha miradi ya kibunifu ya kiteknolojia zinazohusisha utoaji taarifa wa mtu-kwa-mtu kuhusiana na masuala ya uchaguzi:
vijanafm blog lists technology initiatives that revolve around people-to-people reporting on election issues:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hata hivyo, maswali bado hayajajibiwa kwa kuwa visa vingi vya watu waliothibitishwa kuwa na mers hawana historia ya kutangamana na ngamia kabla ya kuanza kwa dalili, na kuashiria pakubwa maambukizi ya binadamu hadi kwa binadamu au njia zisizojulikana za usambazaji zinazohusisha aina za wanyama ambao hawajatambuliwa wanaobeba mers-cov.
however, questions still remain since many confirmed cases of mers have no contact history with camels prior to symptom onset, plausibly ascribed to human-to-human transmission or unknown transmission routes involving unrecognized animal species that harbour mers-cov.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: