Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
najihisi fahari kuwa na wewe mpenzi wangu
je t'aime aussi mon amour
Senast uppdaterad: 2023-07-04
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ni wakati wa furaha, ni muda wa kujisikia fahari.
un moment de joie, un moment de fierté. #bangladesh #savar.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
fahari na utajiri wa watu wa mataifa utaletwa humo ndani.
on y apportera la gloire et l`honneur des nations.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ni sherehe itupayo fahari ya kuwa tumetoa kitu chochote duniani!
c'est une célébration qui nous rend fiers d'avoir apporté quelque chose au monde !
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kumwona barabarani ni jambo la fahari zaidi ambalo watu wangejisikia kuweza kumwona papa.
voir le pape sur la route est le minimum que les gens puissent espérer.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kiingereza hakikuwa lugha yetu ya asili na tunahitaji kuamka na kurejea misingi yetu wenyewe kwa fahari.
l'anglais n'a jamais été notre langue maternelle. nous devons nous réveiller et revenir avec fierté à notre identité linguistique.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kwa hiyo kwa mara nyingine mwaka huu, global voices online inayo fahari kuwa mshirika rasmi wa siku hiyo.
cette année encore, global voices online est fier de compter parmi les partenaires officiels.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
sasa utukufu mkuu zaidi umechukua nafasi ya ule utukufu uliokuja hapo awali, ambao fahari yake imekwisha toweka.
et, sous ce rapport, ce qui a été glorieux ne l`a point été, à cause de cette gloire qui lui est supérieure.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
basi, waonyesheni uthabiti wa upendo wenu, makanisa yapate kuona kweli kwamba fahari ninayoona juu yenu ni ya halali.
donnez-leur donc, à la face des Églises, la preuve de votre charité, et montrez-leur que nous avons sujet de nous glorifier de vous.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lakini kama yasemavyo maandiko: "mwenye kuona fahari na aone fahari juu ya alichofanya bwana."
que celui qui se glorifie se glorifie dans le seigneur.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
maana mpaka sasa mmenielewa kiasi fulani tu. tunajua kwamba katika ile siku ya bwana yesu mtaweza kutuonea sisi fahari kama nasi tunavyowaonea ninyi fahari.
comme vous avez déjà reconnu en partie que nous sommes votre gloire, de même que vous serez aussi la nôtre au jour du seigneur jésus.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
jambo moja lilikuwa wazi: wale wanaowaunga mkono wafanyakazi hawa wanajisikia fahari na wanajichanganua zaidi na daraja la wafanyakazi kuliko ilivyo kwa wanasiasa au wacheza soka.
une chose est claire : ceux qui soutiennent les travailleurs se sentent plus fiers, et plus proches de la classe ouvrière que des hommes politiques ou des joueurs de football.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
angalieni maua jinsi yanavyomea. hayafanyi kazi wala hayafumi. hata hivyo, nawahakikishieni kwamba hata solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.
considérez comment croissent les lis: ils ne travaillent ni ne filent; cependant je vous dis que salomon même, dans toute sa gloire, n`a pas été vêtu comme l`un d`eux.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kiasi cha watu 70,000 walihudhuria matembezi ya fahari ya mashoga na wasagaji nchini taiwani mnamo oktoba 25 katika kusherehekea tofauti za hisia za kimapenzi na utambulisho wa kijinsia na kuuhamasisha umma kuiga mfano huo.
quelque 70.000 personnes ont participé à la gay pride du 25 octobre à taïwan pour célébrer la diversité des orientations et des identités sexuelles et pour encourager le public présent à s'y associer.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
je, tutakaposimama mbele ya bwana yesu wakati atakapokuja, fahari ya ushindi wetu itakuwa nini? itakuwa ni ninyi wenyewe; ninyi ndio tumaini letu na furaha yetu.
qui est, en effet, notre espérance, ou notre joie, ou notre couronne de gloire? n`est-ce pas vous aussi, devant notre seigneur jésus, lors de son avènement?
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
marekebisho ya katiba, ambayo ghana inayahitaji leo, hayapaswi kuwa ya juu ya uso au ya urembo au ya fahari ya macho bali yanatakiwa kuwa katika namna ya katiba, ambayo itakumbatia yote na itakayofikia kila nyanja ili kwamba yasipoteze fursa hii ya nadra ya mabadiliko.
les amendements constitutionnels, dont le ghana a besoin aujourd'hui, ne devraient donc pas être superficiels, de façade, mais doivent donner une constitution de portée globale afin de saisir cette rare opportunité de changement.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
@noonarabia: ninatamani siku moja na sisi hapa yemen tujisikie fahari na mtu ambaye “sisi” tumekumchagua mtu kuwa kiongozi wetu, kama ilivyo leo tunisia. #yemen #tunisia
@noonarabia: je souhaite qu'un jour au yémen nous arrivions à nous sentir fiers de la personne que "nous" aurons choisie pour nous diriger, comme le sont les tunisiens aujourd'hui. #yemen #tunisia
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering