Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.
כי תראו אתם מוציאים את פרחם הלא ידעתם כי קרב הקיץ׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wakaamrishwa wasiharibu nyasi za nchi wala majani wala miti yoyote, bali wawaharibu wale tu ambao hawakupigwa mhuri wa mungu katika paji la uso.
ויאמר אליהם אשר לא ישחיתו את עשב הארץ ולא כל ירק ולא כל עץ כי אם את בני האדם אשר אין להם חותם אלהים במצחותם׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
juu ya msingi huo mtu anaweza kujenga kwa dhahabu, fedha au mawe ya thamani; anaweza kutumia miti, majani au nyasi.
ואם יבנה הבונה על היסוד הזה זהב או כסף או אבנים יקרות או עץ או חציר או קש׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
watu huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.
יש מאמין כי נכון לאכל כל דבר והחלוש יאכל רק את הירק׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
"kwa mtini jifunzeni mfano huu: mara tu matawi yake yanapoanza kuwa laini na kuchanua majani, mnajua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.
למדו נא את משל התאנה כאשר ירטב ענפה ופרחו עליה ידעתם כי קרוב הקיץ׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.
ובתוך רחוב העיר ואל שפת הנחל מזה ומזה עץ חיים עשה פרי שנים עשר כי מדי חדש בחדשו יתן את פריו ועלה העץ לתרופת הגוים׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.
וירא תאנה מרחוק ולא עלים ויבא לראות הימצא בה פרי ויקרב אליה ולא מצא בה כי אם עלים לבד כי לא היתה עת תאנים׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
"lakini ole wenu mafarisayo, kwa sababu mnatoza watu zaka hata juu ya majani ya kukolezea chakula, mchicha na majani mengine, na huku hamjali juu ya haki na upendo kwa mungu. mambo haya iliwapasa muwe mmeyazingatia bila kuyasahau yale mengine.
אך אוי לכם הפרושים כי תעשרו את המנתא ואת הפיגם ואת כל הירק ותעברו את המשפט ואת אהבת אלהים והיה לכם לעשות את אלה ולא להניח גם את אלה׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering