Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. huo ni mfano wa wale wanaolisikia hilo neno,
והאחרים הנזרעים בין הקצים הם השמעים את הדבר׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
zile zilizoanguka njiani zinaonyesha watu wale wanaosikia lile neno, halafu ibilisi akaja na kuliondoa mioyoni mwao wasije wakaamini na hivyo wakaokoka.
ואשר על יד הדרך הם השמעים ואחר כן בא השטן ונשא את הדבר מלבם פן יאמינו ונושעו׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
na zile zilizoanguka kwenye udongo mzuri ndio watu wale wanaolisikia lile neno, wakalizingatia kwa moyo mwema na wa utii. hao huvumilia mpaka wakazaa matunda.
ואשר באדמה הטובה הם השמרים בלב טוב וטהור את הדבר אשר שמעו ועשים פרי בתוחלת׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yeyote asikiaye ujumbe wa ufalme bila kuuelewa, ni kama zile mbegu zilizoanguka njiani; yule mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.
כל איש שמע את דבר המלכות ולא יבינהו ובא הרע וחטף את הזרוע בלבבו הוא הנזרע על יד הדרך׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
zile zilizoanguka kwenye miti ya miiba ni watu wale wanaosikia lile neno, lakini muda si muda, wanapokwenda zao, husongwa na wasiwasi, mali na anasa za maisha, na hawazai matunda yakakomaa.
ואשר נפל בין הקצים הם השמעים והוליכם להם וימכו בדאגות ובעשר ובתאות החיים ופרי לא ישוו למו׃
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: