From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and we left his (memory) for posterity.
na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
nothing (will there be) to refresh, nor to please:
si cha kuburudisha wala kustarehesha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
many discouraged others from spreading those scenes in an effort to respect the victim's family and honor his memory.
watu wengi walihamasisha kutokusambaza video hiyo kama moja ya juhudi za kuheshimu ndugu wa familia pamoja na kutunza heshima yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and the next day we touched at sidon. and julius courteously entreated paul, and gave him liberty to go unto his friends to refresh himself.
kesho yake tulitia nanga katika bandari ya sidoni. yulio alimtendea paulo vizuri kwa kumruhusu awaone rafiki zake na kupata mahitaji yake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
jordan state tv reported that al-kaseasbeh was allegedly killed on january 3, but the nature of today's video was a shock to many, who refused to let isis propaganda cast a shadow on his memory.
televisheni ya taifa ya jordan ilitaarifu kuwa, al-kaseasbeh inadhaniwa kuwa aliuawa tarehe 3 januari, lakini kwa namna video hii inavyoonekana, imewashitua wengi ambao hawakutaka propaganda za isis kurejesha kumbukumbu yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
today, many bloggers in the united states are honoring his memory with dedicated posts, linking his legacy of social justice with issues of today, demonstrating that 42 years after king's assassination, his words are just as relevant.
leo, wanablogu wengi nchini marekani wanaadhimisha kumbukumbu yake kwa kuandika makala za kumuenzi, huku wakiungalisha urithi wake wa masuala ya haki za jamii na masuala ya leo, wakionyesha wazi kuwa miaka 42 baada ya kuuwawa kwa king, maneno yake bado yana maana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
popular indain actor shahrukh khan (@imsrk) tweets about his memories from the famous gahzal singer:
muigizaji maarufu wa kihindi shahrukh khan katika ukurasa wake wa twita anaeleza ni kwa namna gani anavyomkumbuka mwimbaji mashuhuri ghazal:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: