Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
the data required by federal agents is specific information from the indymedia athens account, stored on may first servers.
taarifa zinazotakiwa na idara ya usalama ni habari maalum kutoka kwenye akaunti ya indymedia athens, iliyohifadhiwa kwenye vihifadhi takwimu (servers) za may first.
now while paul waited for them at athens, his spirit was stirred in him, when he saw the city wholly given to idolatry.
paulo alipokuwa anawasubiri sila na timotheo huko athene, moyo wake ulighadhibika sana alipoona jinsi mji huo ulivyokuwa umejaa sanamu za miungu.
and they that conducted paul brought him unto athens: and receiving a commandment unto silas and timotheus for to come to him with all speed, they departed.
wale ndugu waliomsindikiza paulo walikwenda pamoja naye mpaka athene. kisha, wakarudi pamoja na maagizo kutoka kwa paulo kwamba sila na timotheo wamfuate upesi iwezekanavyo.
then paul stood in the midst of mars' hill, and said, ye men of athens, i perceive that in all things ye are too superstitious.
basi, paulo alisimama mbele ya baraza la areopago, akasema, "wananchi wa athene! ninaona kwamba ninyi, kwa vyovyote, ni watu wa dini sana.
but it was picked up by twitter users and investigated after indy.gr - an offshoot of the indymedia athens group - provided a translation of the article in greek.
lakini watumiaji wa huduma ya twita waliipata habari hiyo na kuipeleleza baada ya indy.gr - tawi mojawapo la indymedia athens - kutoa tafsiri ya makala hiyo katika lugha ya kigiriki.
fifa fined the greek federation 30,000 swiss francs ($32,500) following reports of far-right banners displayed when greece beat slovakia 1-0 in athens on october 11.
fifa iliipiga faini shirikisho la kigiriki 30,000 faranga ya uswisi ($ 32,500) kufuatia taarifa ya mabango yaliyoonyeshwa wakati ugiriki iliwashinda slovakia 1-0 mjini athens oktoba 11.