İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
reporters are not free and autonomous; they are only free when that single person is asleep, but he sleeps very little.
waandishi hawana uhuru na hawajitegemei; wanakuwa huru wakati tu huyo jamaa mwenye sauti ya juu amelala, lakini hilo huwa ni nadra kutokea.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
analysts say the proposed law is seemingly a milestone, but one that may fracture somalia further into autonomous and semi-autonomous regions as well as ministates.
wachambuzi wanasema kuwa mswada wa sheria uliopendekezwa unaonekana kama hatua muhimu sana, lakini ambayo inaweza kuigawa zaidi somalia katika maeneo mawili yanayojitegemea au yenye aina fulani ya kujitegemea, na hata kufikia kuwa na majimbo madogo madogo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
on thursday, the 8th of november, the autonomous university of santo domingo, the sole public university in the country, was the scene of one of these anti-government protests.
mnamo alhamisi, novemba 8 2012, chuo kikuu cha autonomous santo domingo, chuo pekee cha umma kikuu nchini, kiligeuka kuwa eneo mojawapo la maandamano haya ya kuipinga serikali.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
in mexico, irma eréndida sandoval heads up a laboratory to document corruption and research the best transparency policies. “laboratorio de documentación y análisis de la corrupción y la transparencia” at unam, the autonomous national mexican university, is one of the most prestigious institutions in latin america.
huko meksiko, irma eréndida sandoval, anaongoza maabara ya kuhifadhi nyaraka juu ya ufisadi na kutafiti kuhusu sera zilizo bora zaidi za uwazi. “laboratorio de documentación y análisis de la corrupción y la transparencia” katika unam, the autonomous national mexican university, ni moja ya taasisi zinazoheshimika sana katika latini amerika.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: