İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
scrubbing creates friction, which helps remove germs from skin, and scrubbing for longer periods removes more germs.
kusugua husababisha msuguano, ambao husaidia kuondoa vijidudu kwenye ngozi na kusugua kwa muda mrefu zaidi huondoa hata vijidudu vingi zaidi.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
soap lifts germs from the skin, and studies show that people tend to wash their hands more thoroughly when soap is used rather than water alone.
sabuni huondoa vijidudu kwenye ngozi, na tafiti zinaonyesha kwamba watu wana tabia ya kuosha mikono yao vyema zaidi wakitumia sabuni kuliko maji pekee.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
drying your washed hands physically removes some germs from your skin (so don't skip that step, and don't share towels).
kukausha mikono yako uliyonawa kihalisi huondoa baadhi ya vijidudu kutoka kwenye ngozi yako (kwa hivyo usiruke hatua hiyo, na usishiriki taulo).
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.
kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: