Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
in maqy of 2013, fifa began implementing stricter sanctions aganist racismand discrimination.
mwezi mei 2013, fifa ilianza kutekeleza vikwazo vikali dhidi ya ukabila na ubaguzi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
thots here and there believes that leaders should walk the talk before implementing any policies:
mwanablogu wa thots here and there anaamini kwamba viongozi ni lazima watende wayasemayo kabla ya kutekeleza sera zozote:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
meanwhile, quod dixit dixit questions the government's motives for implementing the program.
wakati huohuo, quod dixit dixit anahoji kinachoisukuma serikali katika kutekeleza mpango huo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
as a contribution from me in competently implementing the execution sentences, i hope that this device interests the officials.
kama mchango wangu kwa taifa langu katika kufanikisha hukumu ya kifo kwa ufanisi, ninatumaini kuwa kifaa hiki kitawavutia maafisa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
authorities worldwide have responded by implementing travel restrictions, quarantines, curfews, workplace hazard controls, and facility closures.
mashirika ulimwenguni wamechukuwa hatua kwa kuweka vikwazo dhidi ya kusafiri, kuweka karantini, vipindi vya kutotembea, vizuizi vya hatari kazini, na kufungwa kwa majengo.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.
kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
an icc arrest warrant issued within this new context will now have more weight, and hence its potential issuance will probably be more useful as a tool for pressuring omar al-bashir to act in favor of peace in darfur and implementing the cpa.
agizo la kukamatwa linayotolewa na icc katika mazingira mapya litakuwa na uzito, hivyo kutolewa kwake kutakuwa na manufaa kama zana ya kumshinikiza omar al-bashir kutengeneza mazingira yatakayoleta amani katika darfur na kutekeleza mkataba wa amani sudani ya kusini, cpa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
some countries and regions, especially severely affected ones, are implementing emergency lockdowns and restrictions on people's movements and activities, even for those who haven't recently been abroad.
baadhi ya nchi na maeneo, hasa katika maeneo yaliyoathirika sana, yanasitisha shughuli za kawaida na vikwazo kwa mienendo na shughuli za watu, hata kwa wale ambao hawasafiri ng'ambo hivi karibuni.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
a bee pollinates a flower in baguio, philippines - copyright jay suasin on flickr (used with permission)this school year, the philippine government is implementing a united nations-backed sex education program in public schools for children and teenagers.
nyuki akichavusha ua huko baguio, philippines - haki miliki jay suasin kwenye flickr (imetumika kwa ruhusa)mwaka huu wa masomo serikali ya philippines inatekeleza mpango wa elimu ya uzazi kwenye shule za umma unaofadhiliwa na umoja wa mataifa kwa ajili ya watoto na vijana.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: