Şunu aradınız:: in addition (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

in addition

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

in addition to a large

Svahili

kuma na boro kubwa

Son Güncelleme: 2023-08-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition to its website, the club has a blog.

Svahili

zaidi ya tovuti yake, klabu hiyo pia ina blogu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition, nlrp3 inflammasome activation in bats is defective.

Svahili

isitoshe, kuamilishwa kwa nlrp3 inflammasome kwenye popo huwa na madhara.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition to this, they will experience the most intense torment.

Svahili

na zaidi ya hayo ipo adhabu nyengine kali vile vile.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

foul mouthed, and in addition to all this, of improper lineage.

Svahili

mkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition there will be maces of iron (to punish) them.

Svahili

na kwa ajili yao yatakuwapo marungu ya chuma.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition to abdel fattah, ahmed abdel rahman was also released today.

Svahili

zaidi ya abdel fattah, ahmed abdel rahman pia aliachiliwa leo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

he said, “he has done you wrong by asking your ewe in addition to his ewes.

Svahili

akasema: kweli amekudhulumu kwa kumtaka kondoo wako mmoja kuongezea kwenye kondoo wake.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition to alaa and ahmed abdelrahman, abdelrahman elsayed and abdelrahman tarek are also imprisoned.

Svahili

zaidi ya alaa na ahmed abdelrahman, abdelrahman elsayed na abdelrahman tarek nao pia wamefungwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and we gave him isaac and jacob in addition, and all [of them] we made righteous.

Svahili

naye tukampa is-haq, na yaaqub kuwa ni ziada. na wote tukawajaalia wawe watu wema.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition, it was noted that the hjra had an acute shortage of basic materials for surgical procedures.

Svahili

kwa yongeza, ilionekana kwamba hospitali ya hjra ilikuwa na upungufu mkubwa wa vifaa vya msingi kwa ajili ya shughuli za upasuaji.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition, given the therapeutic effects, some disadvantages associated with the plasma should be considered carefully.

Svahili

pia, athari za kimatibabu zikiangaziwa, baadhi upungufu unaohusiana na plasma unapaswa kuzingatiwa kwa makini.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition in 2010, rising voices held a microgrant competition specifically for citizen media outreach projects from egypt.

Svahili

kwa nyongeza, mwaka 2000, mradi wa rising voices uliendesha shindano la kupata ufadhili wa miradi midogo midogo hususani kwa miradi ya kuwafikia waandishi wa kiraia kutoka misri.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition, rapid mutation and genetic recombination also drive hcov evolution and serve as two important steps in this process.

Svahili

pamoja na hayo, kubadilika haraka na kuunganishwa kijenetiki pia huwezesha ukuaji wa hcov na huwa hatua mbili muhimu katika mchakato huu.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

eighteen other defendants were sentenced to three years in prison and three years on probation, in addition to a similar fine.

Svahili

washitakiwa wengine kumi na nane walihukumiwa miaka mitatu jela na miaka mitatu mingine ya uangalizi, mbali na kiwango kile kile cha faini.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition to blogging, ghazzawi is an avid twitter user, who has contributed to both global voices online and global voices advocacy.

Svahili

zaidi ya kublogu, ghazzawi ni mtumiaji mkubwa wa twita ambaye amechangia sana kama mwandishi kwenye global voices online na global voices advocacy.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

[david] said, "he has certainly wronged you in demanding your ewe [in addition] to his ewes.

Svahili

akasema: kweli amekudhulumu kwa kumtaka kondoo wako mmoja kuongezea kwenye kondoo wake.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

in addition to sars-cov-2, this also applies to mers-cov, which is well adapted to dromedary camels.

Svahili

pamoja na sars-cov-2, hii pia hutumika kwa mers-cov, virusi ambayo vimezoeleka vyema ndani ya ngamia warefu zaidi.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

but if you band together against him, then god is his ally, as is gabriel, and the righteous believers. in addition, the angels will assist him.

Svahili

na mkisaidiana dhidi yake (mtume), basi hakika mwenyezi mungu ndiye kipenzi chake, na jibrili, na waumini wema, na zaidi ya hayo malaika pia watasaidia.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in addition to providing general news about uganda and tracking developments in five key project areas, the project has been training local residents to use video cameras to document their lives:

Svahili

zaidi ya kutoa habari za kawaida zinaihusu uganda na kufuatilia maendeleo ya sehemu nne muhimu za mradi, mradi huo umekuwa ukiwafundisha wakazi wa sehemu hiyo jinsi ya kutumia kamera za video ili kusimulia maisha yao:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,736,077,911 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam