Şunu aradınız:: morality (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

morality

Svahili

maadili

Son Güncelleme: 2014-05-31
Kullanım Sıklığı: 14
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

morality is worst interpreted by anatomy.

Svahili

uadilifu unatafsiriwa vibaya zaidi na maumbile.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

cambodia: decline of monk morality? · global voices

Svahili

kambodia: je, viwango vya maadili miongoni mwa watawa vinaporomoka?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

and most surely you conform (yourself) to sublime morality.

Svahili

na hakika wewe una tabia tukufu.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

surely, you (prophet muhammad) are of a great morality.

Svahili

na hakika wewe una tabia tukufu.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

the morality card is being played to produce desirable attitudes, sentiments and behavior among the population even if this strategy disrespects the diverse cultures in the region.

Svahili

karata ya maadili inachezwa ili kurudisha hali inayokubalika, hisia na tabia halali kati ya watu hata kama njia itumikayo haitaheshimu tofauti za mila na desturi kati ya watu wa kanda hiyo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

since buddhism is a state religion guaranteed by the constitution and the fact that nearly all cambodians are buddhists, the recent reported decline of monk morality in the country is a cause of concern.

Svahili

kwa kuwa dini ya kibuda ni dini ya dola kwa mujibuwa katiba ya nchi ya kambodia, hasa kwa kuzingatia kwamba karibu raia wote wa kambodia ni wabuda, matukio yaliyoripotiwa hivi karibuni kuhusu kuporomoka kwa maadili nchini humo miongoni mwa watawa ni jambo la kutilia maanani.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

legality, equality, morality and secularism: these are the “only” principles violated by the special passports for pastors.

Svahili

heshima ya sheria, usawa, maadili na nchi kutokuwa na mfungamano na dini: hii ni misingi "pekee" iliyovunjwa katika kutoa pasipoti za kusafiria kwa wachungaji.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

and if we're waiting upon a small piece of plastic to define morality, then we've already failed – and ought to find a better definition.

Svahili

na kama tunasubiri kipande kidogo cha plastiki kifafanue uadilifu, basi tumeshashindwa – na ni budi tutafute ufafanuzi mzuri zaidi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

when the state starts regulating matters of morality using the law the religious institutions have failed #antigaybill — eriche white walker (@jkeriche) february 24, 2014

Svahili

serikali inapoanza kuingilia mambo ya maadili kwa kutumia sheria maana yake viongozi wa taasisiza kidini wameshindwa kazi

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

anengiyefa sees that uganda has just seen hypocrisy of mps who have unified and are ready to pass a law victimizing homosexuality in the name of morality: this beats the purpose why the system is so anxious to criminalize consensual sex amongst two adults of the same gender and omitting important issues like ethnic violence, tribalism, aids, child rape etc:

Svahili

anengiyefa anaona kwamba uganda imeona unafiki wa wabunge waliungana na wako tayari kupitisha sheria ya kuufanya ushoga kuwa kosa kwa jina la maadili; hii inalishinda kusudi la kwa nini mfumo uko makini kuyafanya mahusiano ya hiari baina ya watu wawili wazima wa jinsia moja yawe jinai na kuacha masuala muhimu kama mapigano ya kikabila, ukabila, ukimwi, ukabaji wa watotot nk:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

Daha iyi çeviri için
7,772,832,211 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam