Şunu aradınız:: pickwick papers (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

pickwick papers

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

organic and papers

Svahili

kikaboni

Son Güncelleme: 2023-08-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

they stole my papers from my college.

Svahili

waliiba karatasi zangu za chuoni.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

now i remember the papers that u were talking about������

Svahili

kugeuka nyuma yangu jinsi...

Son Güncelleme: 2024-02-18
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

it is understood that cabinet has also lodged papers in the con court.

Svahili

inasemekana kwamba baraza hilo nalo limewasilisha nyaraka katika mahakama hiyo ya mambo ya katiba.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

many scientific publishers made scientific papers related to the outbreak available with open access.

Svahili

wachapishaji wengi wa kisayansi waliandika karatasi za kisayansi zinazohusiana na mkurupuko kupatikana na uwezo huru wa ufikiaji.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

previously he has also called united nations resolutions against an iranian nuclear program just useless torn papers.

Svahili

hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa umoja wa mataifa dhidi ya mpango wa nyuklia wa irani kama makaratasi yasiyo na maana.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

also, if ballot papers are swapped or taken to areas they are not meant, the inec would know.

Svahili

pia, kama makaratasi yatabadilishwa au kuchukuliwa kwenda kwenye maeneo yasiyolengwa, tume, inec itajua.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

by the end of the exercise, about 8 presidential and over 500 parliamentary candidates presented their nomination papers to compete for the 193 seats in parliament.

Svahili

hadi kufikia mwisho wa zoezi hilo wagombea wapatao 10 waliwasilisha maombi yao ya kugombea urais na mamia wengine kwa ajili ya kugombea viti 193 vya bunge.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

fans are sharing their memories of jackson on his official site in nearly a dozen languages, and the news made the front page of papers across the globe.

Svahili

mashabiki wamekuwa wakishirikishana kumbukumbu za jackson katika wavuti yake rasmi katika lugha zaidi ya kumi, na habari hiyo ya kifo imetawala kurasa za kwanza za magazeti dunia kote.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

blogger jomhour says iranian president, mahmoud ahmadinejad defended his minister and asked, "who needs these torn papers!"

Svahili

mwanablogu jomhour anaandika kwamba rais wa irani, mahmoud ahmadinejad alimtetea waziri wake kwa kuuliza, "je, ni nani aliye na haja na makaratasi haya yanayoweza kuchanwa (yasiyo na maana)!”

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

one reader, jay jay, raised the issue of a catholic priest who was deported from zambia, apparently because he did not have legitimate papers:

Svahili

msomaji mmoja, jay jay, aliibuasuala la padre mkatoliki aliyefurushwa kutoka nchini zambia, kwa sababu ya kile kilichoelezwa kwamba hakuwa na vibali vyote vinavyohitajika:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

if the certificates are useless, torn, paper why did ahmadinejad's minister pretend to have one... it is not the first time that ahmadinejad calls official documents torn papers.

Svahili

endapo vyeti havina maana, ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote, hivi basi kwa nini waziri wa ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo rais ahmadinejad anaita (anakebehi) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

since october 12, pro-beijing mobs were mobilized to surround pro-democracy apple daily's headquarters and stop the media outlet from distributing their papers.

Svahili

tangu oktoba 12, wahuni wanaounga mkono msimamo wa beijing walipangwa kuzunguka makao makuu ya gazeti linaounga mkono demokrasia na kuwazuia wafanyakazi wa gazeti hilo kutawanya magazeti.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

paper

Svahili

karatasi

Son Güncelleme: 2012-09-20
Kullanım Sıklığı: 3
Kalite:

Referans: Wikipedia

Daha iyi çeviri için
7,743,341,926 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam