İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
political science
sayansi ya siasa
Son Güncelleme: 2020-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
such was the case in angara, reports sergey schmidt, a local political science professor.
hayo yalitokea angara, kama alivyoripoti sergey schmidt, profesa wa sayansi ya siasa wa chuo kimoja sehemu hiyo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
attahiru jega, a professor of political science and head of the independent national electoral commission.
attahiru jega, profesa wa sayansi ya siasa na mkuu wa tume ya taifa ya uchaguzi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
henrik angerbrandt, a phd candidate in political science and researcher at the nordic africa institute, believes the postponement has more to do with politics than security.
henrik angerbrandt, ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu (phd) katika masuala ya sayansi ya siasa na mtafiti katika taasisi ya nordic africa, anaamini kuwa kuahirishwa huku kwa uchaguzi kumechagizwa na sababu za kisiasa zaidi kuliko za kiusalama.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
attahiru jega, a professor of political science and head of the independent national electoral commission (inec) will determine to a large extent the credibility of the polls within these three weeks.
attahiru jega, profesa wa sayansi ya siasa na mkuu wa tume ya taifa ya uchaguzi (inec) kwa kiasi kikubwa ndiye atakayeamua juu ya kuhalalishwa kwa zoezi la upigaji kura ndani ya majuma matatu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
an analysis by moses khisa, a phd candidate in political science at northwestern university in illinois, usa, on uganda's observer criticizing the poll results as "self-deception" received a lot of comments from netizens. mungu wrote:
uchambuzi uliofanywa na moses khisa, mwanafunzi wa shahada ya uzamivu ya sayansi ya siasa ya chuo kikuu cha northwest huko illinois, marekani kwenye gazeti la observer la nchini uganda akikosoa matokeo hayo ya utafiti na kuyaita kuwa "uwongo mtupu" ulipokelewa kwa hisia tofauti na raia. msomaji ajiitae mungu aliandika:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor