Şunu aradınız:: transparent (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

transparent

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

most bloggers, however, went with the transparent vladimir putin parallel.

Svahili

wanablogu wengi, hata hivyo, walizungumzia zaidi kuhusu vladimir putin.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the new legislation is ostensibly designed to make such foreign funding more transparent.

Svahili

sheria mpya imesukwa kwa makusudi ili kulazimisha upokelewaji wowote wa fedha kutoka nje uwekwe wazi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

many colombians believe that they led transparent administrations during their time as mayors.

Svahili

wakolombia wengi wanaamini kuwa walikuwa na utawala wa uwazi wakati wa enzi zao kama mameya.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

it is important not only approve good laws to promote transparency and openness but also protect a free country from becoming less transparent.

Svahili

ni muhimu siyo tu kupitisha sheria nzuri ili kuhamasisha uwazi na uwekaji bayana wa mambo bali pia kukinga nchi iliyo huru isije ikawa isiyoonekana sana.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

(transparent as) glass, made of silver; they have measured them according to a measure.

Svahili

vya fedha safi kama kiyoo, wamevipima kwa vipimo.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

i now call on the egyptian military to move quickly and responsibly to return full authority back to a democratically elected civilian government as soon as possible through an inclusive and transparent process, and to avoid any arbitrary arrests of president morsy and his supporters.

Svahili

ninalitaka jeshi la mirsi kuchukua hatua za haraka na za kiwajibikaji kurudisha mamlaka kamili kwa serikali ya kiraia iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia mara moja kwa njia za wazi na za pamoja, na kukwepa kumkamata rais morsi na wafuasi wake.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as a researcher for the technology for transparency network, i'm particularly interested in the way that ict can help engage citizens in the governance of their country and encourage governments to be both transparent and accountable.

Svahili

kama mtafiti wa mtandao wa teknolojia ya uwazi, ninavutiwa hasa katika njia ambazo teknolojia ya habari na mawasiliano zinaweza kusaidia kuwashirikisha raia katika utawala wan chi yao na kuhamasisha serikali kuwa na uwazi pamoja na uwajibikaji.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

honest, fair, transparent and respectful debate should be our strategy for working together; this should be our moral code, our law – and for centuries this has been our syria.

Svahili

mijadala ya wazi, ya haki, uaminifu na ya wazi lazima iwe ndiyo mbinu yetu ya kufanya kazi pamoja; hili lazima liwe ndiyo sheria ya kimaadili, na kwa hakika imekuw ahivi kwa karne nyingi nchini syria.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

despite decree 41 of 2011, which theoretically guarantees citizens' right to access administrative documents held by public institutions and despite the multiple talks on fighting corruption and holding the corrupt accountable and the need to establish a transparent good governance , we are yet to enjoy the right to access information and a serious anti corruption battle.

Svahili

pamoja na sheria 41 za mwaka 2011, ambayo kinadharia inawahakikishia raia haki ya kupata taarifa za kiserikali kutoka kwenye taasisi za umma na pamoja na mazungumzo mengi kuhusu kupambana na ufisadi na kuiwajibisha serikali na hitaji la kuanzisha utawala bora ulio wazi , bado hatujaweza kufaidi haki ya kupata taarifa hizo na kushuhudia vita vya kweli kweli vya kupambana na ufisadi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,740,534,786 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam