İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
yes, vladimir vladimirovich is married!
ndio, vladimir vladimirovich ameoa!
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
most bloggers, however, went with the transparent vladimir putin parallel.
wanablogu wengi, hata hivyo, walizungumzia zaidi kuhusu vladimir putin.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
in moscow, vladimir putin claimed that kyiv is accountable for anything that happens in ukraine.
jijini moscow, vladimir putin aliibebesha lawama kyiv kwa chochote kinachotokea ukraine.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
five governorships were also in play, for the first time since vladimir putin canceled such elections seven years ago.
nafasi tano za ugavana zilikuwa zikigombaniwa, kwa mara ya kwanza tangu vladimir putin kufutilia mbali chaguzi kama hizo miaka saba iliyopita.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
there have long been rumors that vladimir putin has a romantic relationship with uzbekistan-born former gymnast alina kabaeva.
kumekuwepo uvumi kwamba vladimir putin ana uhusiano wa kimapenzi na mcheza sarakasi wa zamani aliyezaliwa uzbekistan alina kabaeva.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
dymovsky also appeals to russian prime minister vladimir putin urging him to investigate those problems and put an end to the widespread corruption in the police.
dymovsky pia anamwomba waziri mkuu vladimir putin kupeleleza matatizo hayo na kumalizia mbali tatizo la ufisadi katika jeshi la polisi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
in russia, it is exceedingly rare for anyone who regularly appears on television or the silver screen to criticize, let alone denounce, vladimir putin.
nchini urusi, ni nadra sana kwa mtu yeyote anayeonekana kwenye televisheni mara nyingi kumkosoa, achilia mbali kumpinga, vladimir putin.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
on november 6, a police officer at the department of internal affairs in novorossiysk used his personal web site to address russian prime minister vladimir putin and talk about numerous problems police officers face in russia.
mnamo tarehe 6 novemba, afisa wa polisi katika idara ya mambo ya ndani huko novorossiysk alitumia tovuti yake binafsi kuwasiliana na waziri mkuu vladimir putin na kuzungumzia matatizo lukuki yanayowakabili maafisa wa polisi nchini urusi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
at the daily beast, julia ioffe comments on wikileaks' revelations about the relationship between the russian pm vladimir putin and his italian counterpart, silvio berlusconi.
kwenye the daily beast, julia ioffe anatoa maoni juu ya masuala yaliyowekwa wazi katika wikileaks kuhusu uhusiano kati ya waziri mkuu wa urusi na mwenzake wa italia silvio berlusconi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
last but not least is the reaction of vladimir putin himself, who told itar-tass that kyiv is accountable for the skies over ukraine's rebel-controlled east.
mwisho lakini si kwa uzito ni mwitikio wa vladimir putin mwenyewe, aliyeliambia shirika la habari la itar-tass kwamba kyiv inawajibika kwa anga la ukraine mashariki inayodhibitiwa na waasi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
at least 7,000 protesters gathered on the streets of kaliningrad , the country's westernmost city, on january 30 to demand, among other things, the resignation of the regional governor georgy boos and russian prime minister vladimir putin.
wanaandamanaji wasiopungua 7,000 walikusanyika kwenye mitaa ya kaliningrad, mji ulio magharibi zaidi mwa nchi hiyo, januari 30 ili kudaii, pamoja na mambo mengine, kujiuzulu kwa gavana wa mkoa georgy boos na waziri mkuu wa urusi vladimir putin.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: