İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
così abbelliamo agli empi le azioni loro.
ndio namna hiyo wamepambiwa warukao mipaka yale waliyo kuwa wakiyatenda.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
sono le azioni che contano, non le parole.
kuthibitisha kupo kwenye matendo na si kwa maneno.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
così sembrano graziose ai miscredenti le loro azioni.
kama hivyo makafiri wamepambiwa waliyo kuwa wakiyafanya.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
a noi le nostre azioni, a voi le vostre.
sisi tuna jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
essi non avranno nessun vantaggio dalle loro azioni.
basi hawatakuwa na uweza wowote kwa walivyo chuma.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
accetteremo le loro azioni più belle e sorvoleremo sui loro misfatti.
hao ndio tunao wapokelea bora ya vitendo vyao walivyo vitenda, na tunayasamehe makosa yao.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
costoro non sono affatto credenti e allah vanificherà le loro azioni.
hao hawakuamini, basi mwenyezi mungu amevibat'ilisha vitendo vyao.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
coloro che invece tramano le azioni malvagie, avranno un castigo severo.
na wanao panga vitimbi vya maovu watapata adhabu kali.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
e allora spetterà a noi chieder loro conto [delle loro azioni].
kisha hakika ni juu yetu sisi hisabu yao!
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
allah è con voi e non diminuirà [il valore del]le vostre azioni.
na mwenyezi mungu yu pamoja nanyi, wala hatakunyimeni malipo ya vitendo vyenu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
e coloro che hanno commesso azioni malvagie, vedranno pagato col male, il male loro.
na wale walio chuma maovu, malipo ya uovu ni mfano wake vile vile, na yatawafika madhila.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
abbiamo reso belle, [agli occhi di ogni comunità], le loro proprie azioni.
namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
le peggiori azioni sono state rese belle ai loro occhi, ma allah non guida il popolo dei miscredenti.
wamepambiwa ubaya wa vitendo vyao hivi. na mwenyezi mungu hawaongoi watu makafiri.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
concupite i maschi, vi date al brigantaggio e perpetrate le azioni più nefande nelle vostre riunioni”.
nyinyi mnawaingilia wanaume, na mnaikata njia? na katika mikutano yenu mnafanya maovu?
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
noi giustamente, perché riceviamo il giusto per le nostre azioni, egli invece non ha fatto nulla di male»
wewe na mimi tunastahili, maana haya ni malipo ya yale tuliyotenda. lakini mtu huyu hakufanya chochote kibaya."
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
a meno che non si penta, creda e operi il bene, ché a costoro allah cambierà le loro cattive azioni in buone.
isipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. basi hao mwenyezi mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lo stesso si dica per le volgarità, insulsaggini, trivialità: cose tutte sconvenienti. si rendano invece azioni di grazie
tena maneno ya aibu, ya upuuzi au ubishi, yote hayo hayafai kwenu; maneno ya kumshukuru mungu ndiyo yanayofaa.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
poiché il figlio dell'uomo verrà nella gloria del padre suo, con i suoi angeli, e renderà a ciascuno secondo le sue azioni
maana, mwana wa mtu atakuja katika utukufu wa baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
chiediamo agli alleati di supportare il nostro messaggio, e ai governi stranieri di considerare il governo marocchino per conto delle sue azioni e principi. #justice4morocco
tunawaomba washirika wetu wote kuunga mkono ujumbe wetu, pamoja na serikali kutoka nchi mbalimbali kuishinikiza serikali ya morocco kuwajibika kwa matendo na mwenendo wake. #justice4morocco
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
daremo una vita eccellente a chiunque, maschio o femmina, sia credente e compia il bene. compenseremo quelli che sono stati costanti in ragione delle loro azioni migliori.
mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, naye akawa ni muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapa ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: