Results for translation from Korean to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Korean

Swahili

Info

Korean

그 가 태 초 에 하 나 님 과 함 께 계

Swahili

tangu mwanzo neno alikuwa na mungu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

자 기 를 나 타 내 지 말 라 경 계 하

Swahili

akawaamuru wasiwaambie watu habari zake,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

그 러 므 로 이 것 을 저 에 게 의 로 여 기 느 니

Swahili

ndiyo maana mungu alimkubali kuwa mwadilifu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

또 인 자 됨 을 인 하 여 심 판 하 는 권 세 를 주 느 니

Swahili

tena amempa mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni mwana wa mtu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

그 후 에 야 고 보 에 게 보 이 으 며 그 후 에 모 든 사 도 에 게

Swahili

baadaye alimtokea yakobo kisha akawatokea mitume wote.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

권 세 있 는 자 를 그 위 에 서 내 리 치 으 며 비 천 한 자 를 높 이

Swahili

amewashusha wenye nguvu kutoka vitu vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

그 러 나 이 제 하 나 님 이 그 원 하 시 는 대 로 지 체 를 각 각 몸 에 두

Swahili

lakini kama ilivyo, mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

가 라 사 대 내 가 반 드 시 너 를 복 주 고 복 주 며 너 를 번 성 케 하 고 번 성 케 하 리 라 하

Swahili

mungu alisema: "hakika nitakubariki na nitakupa wazawa wengi."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Korean

나 는 아 노 니 이 는 내 가 그 에 게 서 났 고 그 가 나 를 보 내 음 이 니 라' 하 신

Swahili

lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye aliyenituma."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Korean

가 라 사 대 ` 때 와 기 한 은 아 버 지 께 서 자 기 의 권 한 에 두 으 니 너 희 의 알 바 아 니

Swahili

lakini yesu akawaambia, "nyakati na majira ya mambo hayo viko chini ya mamlaka ya baba yangu, wala si shauri lenu kujua yatakuwa lini.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Korean

그 가 혹 은 사 도 로, 혹 은 선 지 자 로, 혹 은 복 음 전 하 는 자 로, 혹 은 목 사 와 교 사 로 주

Swahili

ndiye aliyewapa watu zawadi: wengine aliwajalia wawe mitume, wengine manabii, wengine wawe waeneza habari njema, wengine wachungaji na walimu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Korean

예 수 께 서 머 물 러 서 서 명 하 여 ` 데 려 오 라' 하 더 니 저 가 가 까 이 오 매 물 어 가 라 사

Swahili

yesu alisimama, akaamuru wamlete mbele yake. yule kipofu alipofika karibu, yesu akamwuliza,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,738,992 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK