İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
habentes mysterium fidei in conscientia pur
wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
reportantes finem fidei vestrae salutem animaru
kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo la imani yenu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
scientes quod probatio fidei vestrae patientiam operatu
kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
et hii omnes testimonio fidei probati non acceperunt repromissione
watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. hata hivyo, hawakupokea yale ambayo mungu aliwaahidia,
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
confidis te ipsum ducem esse caecorum lumen eorum qui in tenebris sun
wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
non quia dominamur fidei vestrae sed adiutores sumus gaudii vestri nam fide stetisti
hatutaki kutumia mabavu juu ya imani yenu; ninyi mko imara katika imani yenu. wajibu wetu ni kufanya kazi pamoja kwa ajili ya furaha yenu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
et continuo iesus extendens manum adprehendit eum et ait illi modicae fidei quare dubitast
hapo, yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, "ewe mwenye imani haba! kwa nini uliona shaka?"
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
et ambulabunt gentes per lumen eius et reges terrae adferent gloriam suam et honorem in illa
watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake, na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
accedamus cum vero corde in plenitudine fidei aspersi corda a conscientia mala et abluti corpus aqua mund
kwa hiyo tumkaribie mungu kwa moyo mnyofu na imani timilifu, kwa mioyo iliyotakaswa dhamiri mbaya, na kwa miili iliyosafishwa kwa maji safi.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
die media in via vidi rex de caelo supra splendorem solis circumfulsisse me lumen et eos qui mecum simul eran
mheshimiwa, wakati nilipokuwa njiani, saa sita mchana, niliona mwanga mkubwa kuliko wa jua ukiangaza kutoka mbinguni, ukanizunguka mimi na wale wasafiri wenzangu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
certa bonum certamen fidei adprehende vitam aeternam in qua vocatus es et confessus bonam confessionem coram multis testibu
piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano la mbio za imani, ukajipatie tuzo la uzima wa milele, uliloitiwa wakati ulipokiri imani yako mbele ya mashahidi wengi.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
aspicientes in auctorem fidei et consummatorem iesum qui pro proposito sibi gaudio sustinuit crucem confusione contempta atque in dextera sedis dei sedi
tumwelekee yesu ambaye ndiye aliyeianzisha imani yetu na ambaye ataikamilisha. kwa ajili ya furaha iliyokuwa inamngojea, yeye alivumilia kifo msalabani, bila kujali juu ya aibu yake, na sasa anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi cha mungu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
dixit ergo eis iesus adhuc modicum lumen in vobis est ambulate dum lucem habetis ut non tenebrae vos conprehendant et qui ambulat in tenebris nescit quo vada
yesu akawaambia, "mwanga bado uko nanyi kwa muda mfupi. tembeeni mngali mnao huo mwanga ili giza lisiwapate; maana atembeaye gizani hajui aendako.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.