İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
ita et vos existimate vos mortuos quidem esse peccato viventes autem deo in christo ies
hali kadhalika nanyi lazima mjione kuwa mmekufa kuhusu dhambi, lakini kama mnaoishi katika umoja na mungu kwa njia ya kristo yesu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
si mortui estis cum christo ab elementis mundi quid adhuc tamquam viventes in mundo decerniti
ninyi mmekufa pamoja na kristo na kukombolewa kutoka nguvu za pepo watawala wa ulimwengu. kwa nini, basi, kuishi tena kama vile mngekuwa wa ulimwengu huu? ya nini kuwekewa masharti:
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
sed neque exhibeatis membra vestra arma iniquitatis peccato sed exhibete vos deo tamquam ex mortuis viventes et membra vestra arma iustitiae de
wala msitoe hata sehemu moja ya miili yenu iwe chombo cha kutenda uovu na dhambi. badala yake, jitoleeni ninyi wenyewe kwa mungu kama watu waliofufuliwa kutoka wafu; toeni nafsi zenu zote kwa mungu kwa ajili ya uadilifu.
Son Güncelleme: 2012-05-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: