İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
na wakati mchungaji mkuu atakapotokea, ninyi mtapokea taji ya utukufu isiyofifia.
and when the chief shepherd shall appear, ye shall receive a crown of glory that fadeth not away.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka siku ile atakapotokea bwana wetu yesu kristo.
that thou keep this commandment without spot, unrebukeable, until the appearing of our lord jesus christ:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
uzima wenu halisi ni kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
when christ, who is our life, shall appear, then shall ye also appear with him in glory.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
naam, watoto, kaeni ndani yake kusudi wakati atakapotokea tuwe hodari bila kuwa na sababu ya kujificha kwa aibu siku ya kuja kwake.
and now, little children, abide in him; that, when he shall appear, we may have confidence, and not be ashamed before him at his coming.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hapo ndipo mwovu atakapotokea; lakini bwana yesu anapokuja atamuua kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kwa mng'ao wa kuja kwake.
and then shall that wicked be revealed, whom the lord shall consume with the spirit of his mouth, and shall destroy with the brightness of his coming:
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wapenzi wangu, sisi ni watoto wa mungu sasa, lakini bado haijaonekana wazi jinsi tutakavyokuwa. lakini tunajua kwamba wakati kristo atakapotokea, tutafanana naye kwani tutamwona vile alivyo.
beloved, now are we the sons of god, and it doth not yet appear what we shall be: but we know that, when he shall appear, we shall be like him; for we shall see him as he is.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: