İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
jambo hili lina maana kwamba watu hawawezi kwenda jijin port ili kutafuta taarifa za ndugu zao.
this means that families can not get to port to find out where their families are.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mjini imphal , watu walipaza sauti zao ili kutafuta haki dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia wa msichana.
india protested vehemently against recent gang-rapes, imphal cried out for justice against sexual harassment of a girl.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wanawake wanne kutoka jamii ya tatar husafiri kila juma kutoka katika kijiji chao kwenda syzran ili kutafuta fedha za kujikimu.
four ethnic tatar women commute weekly from their village to syzran to earn some money.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kama sehemu ya kumbukumbu hii, blogu inayoitwa raia wa mexico nchini uswisi wapenda amani ilieneza barua ifuatayo ili kutafuta uungwaji mkono:
as part of this anniversary, the blog mexicans in switzerland for peace spread the following letter of support:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wanahabari mahiri wanazidi kuhamia katika matumizi ya vyombo vya habari vya mtandaoni na blogu ili kutafuta uhuru zaidi, hivyo kufanya ufafanuzi uliokuwepo hapo kabla kuingia ukungu.
professional journalists are increasingly migrating to online media and blogs in pursuit of more freedom, blurring the old lines of definition.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwaka 1991 ahmed hasan osman* alikimbia mtafaruku huku somalia, na kuiacha familia yake mjini kismayu, na kufanya safari ya kuelekea kenya ili kutafuta hifadhi.
in 1991 ahmed hassan osman* fled the conflict in somalia, leaving his family in kismayu, and made his way to kenya in search of asylum.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
pia wasia huo ulikuja katika siku ambayo maofisa wa australia na india walipokutana huko canberra ili kutafuta njia nzuri zaidi za kukabiliana na vitendo viovu - wakati huo huo ambapo mwili uliongua kiasi wa mhindi mwingine ulipopatikana.
it also came on a day when indian and australian officials met in canberra to search for better ways to deal with the continuing violence even as the partially burnt body of another indian was found.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.