Şunu aradınız:: hizi sijui namna ya kutumia hautumi m pesa (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

hizi sijui namna ya kutumia hautumi m pesa

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

serikali nchini uzbekistan inatafuta namna ya kutumia hatua kali za kudhibiti wanablogu wa nchi hiyo.

İngilizce

the authorities in uzbekistan are seeking to impose strict controls on the country's bloggers.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

warsha iliwaelimisha na kuwafunza vijana wenye ulemavu kuwafanya hatimaye waweze kuwafunza wananchi wengine namna ya kutumia zana kama twita na facebook.

İngilizce

the workshop educated and trained the disabled so that they can in turn educate the public using tools such as twitter and facebook.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

miradi hiyo ina lengo la kuyashirikisha makundi hayo na watu mmoja moja, kuwafunza namna ya kutumia zana hizi pamoja na kuwapa jukwaa linaloaminika kwa ajili ya ufuatiliaji wa uchaguzi wa nchi hiyo.

İngilizce

the projects seeks to engage these bodies and individuals, train them to use these tools as well as provide a reliable platform for elections monitoring in the country.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

'i paid a bribe kenya ' pia ilizindua namna ya kutumia ujumbe mfupi wa simu ili kuwawezesha wakenya zaidi ya milioni elfu ishirini na tano kuwasilisha ripoti zao.

İngilizce

the initiative launched the ‘i paid a bribe kenya’ integrated sms system in may this year to allow over 25 million kenyans with access to a mobile phone to report and share their bribe experiences on the site:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

zifuatazo ni nyenzo zilizo kwenye mtandao ambazo watu wanazitumia ili kuwasiliana na wenzao: nyenzo ya kusaidia kumtafuta mtu kutoka google ukurasa wa facebook ili kutumiana taarifa gigazine walikuwa na makala ya kijapani yenye picha zinazofundisha namna ya kutumia huduma ya ujumbe mfupi wakati wa dharura ambayo iliwekwa na makampuni ya simu za mkononi.

İngilizce

here are some online resources that people are using to get in touch with each other: person finder from google facebook page to share info gigazine has an article with screenshots that teach how to use the emergency messaging service that’s been set up by the phone companies.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wakati wananchi wa ghana wakijiandaa kwa uchaguzi wa rais na wabunge utakaofanyika tarehe 7 desemba 2012, jumuiya ya wanablogu ya nchi hiyo iitwayo “bloggingghana” imeanzisha mradi wa vyombo vya habari vya kiraia ambao unalenga kuwaelimisha wadau namna ya kutumia zana za uandishi wa kiraia kwa ajili ya uangalizi wa uchaguzi na namna ya kuhabarisha yatakayotokea wakati wa uchaguzi.

İngilizce

as ghanaians are getting ready for presidential and parliamentary elections that will be held on 7 december 2012, bloggingghana community has lauched a social media initiative that seeks to train stakeholders to use social media tools for election monitoring and reporting.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
7,761,916,813 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam