İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
blogu hii imepokea makumi elfu ya watembeleaji wapya katika juma moja tu
this blog has received tens of thousands of new visitors in one week alone.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hii ni siku ya 3 ya zoezi la uhakiki. tume ya uchaguzi imepokea asilimia 40 na asilimia 30 yamehakikishwa #namibiaelection2009
this is day 3 of verification process, the electoral commission has received 40% of results and 30% have been verified #namibiaelections2009
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kulingana na ripoti za vyombo vya habari mnamo 1 aprili, korea kusini imepokea maombi ya msaada wa kupima virusi kutoka nchi 121 tofauti.
per media reports on 1 april, south korea has received requests for virus testing assistance from 121 different countries.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nec imepokea maombi ya kagame kugombea katika kinyang'anyiro hicho baada ya chama cha rpf kumpitisha kupeperusha bendera yake kwa ajili ya awamu ya pili na ya mwisho kama inavyoruhusiwa na katiba.
nec has accepted kagame’s application for the race after the rpf returned as its flag bearer to run for the second and final term as provided for by in the constitution.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa nini – wakati nchi imepokea misaada ya chakula yenye thamani ya si chini ya dola za kimarekani bilioni moja wakati wa majanga ya matetemeko ya ardhi ya mwaka 1995 na 2010 – bado baa la njaa linaongezeka?
why – when the country has received at least one billion u.s. dollars worth of food aid between 1995 and the 2010 earthquake – is hunger on the rise?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: